Ufisadi mpya ndani ya manispaa ya kinondpni

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Ilikuwa ni siku ya tarehe 31/01/2011 ndani ya manispaa ya kinondoni katika kikao cha kamati ya fedha kinachoshirikisha wabunge wote na baadhi ya madiwani....... wakati wanakamati wakipitia taarifa ya bajeti ya fedha ya kipidi kilichopita kabla ya kuunda bajeti mpya ndipo diwani wa chadema kata ya sinza bw renatus pamba, alipo ona kipengele kisemacho shilingi millioni kumi na nne za manispaa zimetumika kwenye shughuli za ujenzi wa ofisi za ccm.....

meya alipo hojiwa kulikoni, ali jibu yeye hajui kwakuwa taarifa hiyo kaikuta....
 
Back
Top Bottom