mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
yaani sasa hivi hii gas imepatikana huku utaona jinsi ambayo obama, cameroun watakavoanza kuja kuitembelea tanzania...hawa wazungu wanafiki kweli mi nawajua nyie kaeni chonjo muone...na wanajua tuna viongozi dhaifu wakipewa 10% tu basi wanasign mikataba....mtaniambia...