Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

Achana na vidagaa
Hana data zozote ni majungu tu kuchimbana, ndio akili ya mtanzania, madini yandondoka bila kuhesabiwa dhahabu, almasi, wanyama hela zinakwapuliwa ndani ya central bank mahali ambako nido sefu yetu ya mwisho kama nchi, huko maliasili usisema, hela za safari ya raisi cash money in dollars, JK mwenyewe aliiba hela za msafara akiwa south afika wakati waziri wa mambo ya nje, huyu mama hata kama anaiba na hizo hela haziingii TRA hivi zingeingia zingebadili vipi maisha yako, familia yako na watoto wako. Hili Ndio tatizo letu kubwa, sijaona thread ya kutaka kujua mafisadi waliochukua dola zetu milioni moja anazobeba JK kila anapotoka safari kwamba ni wakina nani na warudishe. Mtanzania akithubutu kuchungulia huko juu si TRA, si matakataka si nini na juu ya hapo ndio vijicho kama vyako, hivi wageni wote wanaotufanya kichwa cha bibi hatuhangikki nao tena tunaandika humu tukiwasifia kwa ushenzi wao,

Opportunity is like a window, only stays open for a while, Mariedo ni mfanyabiashara si mfanyakazi wa wiara ya afya

Si siri nchi nzima tunamjua sasa kuwa Blandina ni mwizi, kila alkogsa ni kero lakini ndio values za serikali na viongozi wetu. Ni mtuwa Mkapa ametoka nae huko na wote wezi sasa mariedoafayeje. yes mariedo alikula dili zake na Blandina, sawa mbona yule mhindi wa Kiwete ndio sole contractor wa kazi zote za serikali, watanzania wanakosa tender mbona hamsemi? haya mbona Rostam Aziz ndio supply wa kusafisha migodi yote Tanzania, mbona hamsemi? mnayemuona ni huyu dada wa watu anayeuza chupi na poda. Na cha kujiuliza ni kwa nin mfanyabiashara huyu asiwe na motisha ya kulipa kodi, kwa sababu tax system ya nchi hii ni mavi ya kunya, hakuna utaalamu wala akili kitilya amezeeka anakalishwa tu pale kwa wizi naye basi mlipueni, kwa nin mke wake anapata tender zote za serikali, basi nae ni fisadi. Muacheni Mariedo sio ndugu yangu, namfamu tangu akiwa jangwani ni mchapa kazi, hata kama nform four leaver, hao ma graduate waliolundikana kila kona wanafanya nini si tu kuchangia nchi bali hata maisha yao. Najua lengo la waraka huu ni kuwa unlesh watu wa TRA kufanya harassment kwa mariedo na kuhukua hela ni dhambi, fanyeni kazi jamani na nyie tunajuana watanzania humu matatizo yetu.

kwa nina tunam condemn mtanzania? tumeua biashara za wazawa siku hizi wakina home service center sijui eti ndio wafanyabiashara wakubwa watanzania, Je wao wanakwepa kodi ngapi? do you need to be told? kama unazungumzia data toa hizo sio
Na kama kuna watanzania wengine wa kawaida wanaweza kuibia serikali fundishaneni do it, hii siiyo serikali ni genge la wezi, mimi mwezi wa pili wakati gari yangu imepandishwa thamani kwa washenzi ma clerk calling themselves officer wa TRA, waziri wa fedha wa wakati huo alisamehewa kodi ya milini 96 na watu hao wanaojifanya wataalamu. Mariedo kama alibwbwa na Blandina kwa 10% yeye ankosa gani? angekataa tenda? of course zile deal zilikua kichekesho nakumbuka sabasaba na suti za wafanyakazi wa wizara ya afya, sasa Blandina anajulikana mwizi siku zote, kipi cha kumchanganya na maendeleao ya mary? Blandina hahitaji kuwa na share mariedo kula hela ya mary. Jamani tunapigania 1% wakati 99% tumeicha wazi inaliwa na wageni. Sisi tunauana kwa left overs, hii tabia mbaya sana na ndio adui mkubwa wa maendeleo yetu, ningetegemea sisi kama wazawa tupiganie mazingira mzuri ya wafanyabiashare wazawa, hawe ndio wtakaojenge uchumi wetu, hivi nchi hii kweli itegemee kuendeshwa na kodi za poda na suspenders. stop the cheap talk na nyie wengine acheni kumshabikia,
 
Ujumbe wangu kwa wale wote wajuaji wa majungu kashfa na dharau nilizoziona hapa kwa maried, eti shule, life is not about academic credential and number of years spent in the classrooms, we are missing a point na ndio maana hawa wanaomwagwa kama njugu kila mwaka na vyuo vyetu vya kata wanaishia kuomba reseach ama kazi yoyote, life is about STREET SMARTNESS, nitafute ntakupa siri, mwenzio huko kwenye majungu na chuki kwa wenzangu nilshahama, nko kwenye kutafuta siri na mbinu za hao wanaofanikiwa, hii imenisaidie sana ki akili na kiroho. Mungu awapunguzieni wote mnaohusika na hali hii, machungu dhidi ya watanzania wenzenu wazawa na wazalendo wenzetu, wote tuna njaa tutafute mbinu za kujikwamua,
 
Pata dira watu sample hii na wengne wa jinsi hii miaka 10 ijayo wataiweka wapi tanzania ye2 nahic hata shule ya kata inayosuasua itakua ndoto
 
kumbe mmiliki wa Mariedo na Mary Rose ni mmoja??! ndio umenifungua macho.
 
ukiwahoji utasikia tuko kwenye uchambuzi yakinifu,ukiwabana wanang'aka na kusema LIWALO NA LIWE.Mwisho wa siku vyanzo vya mapato sigara,soda na Pombe kumbe fedha nyingine inapotea ovyo.serikali dhaifu
 
Ngoja niwahi ofsini .................... nitawajuza nini kinaendelea ................ LIWALO NA LIWE!
 
Watanzania wenyewe tunakosa uzalendo. Serikali inahimiza kudai risiti kila ufanyapo manunuzi. Tujiulize ni wangapi tunafanya hivyo?
 
Hapo ndo nathibitisha ULEGELEGE wa serikali na UDHAIFU wa CCM.yan unakuta uyo mary ana share na hawa mafisadi papa.suluhisho n 2015 pekee
 
Hapo ndo nathibitisha ULEGELEGE wa serikali na UDHAIFU wa CCM.yan unakuta uyo mary ana share na hawa mafisadi papa.suluhisho n 2015 pekee
 
Turudi kwenye bunge taarab show mipasho inaendelea dodoma leo. Mnawashwawashwa...... Mara aliyekuwa na uchungu na hii nchi aende labour akazae....Liwalo na liwe ,ulimboka ni hitler.
 
TRA Investigation Bureau imelala ama inakula mlungula...kelele hizi zilipigwa sana katika mgomo uliopita wa madaktari hadi kufikia kusimamishwa mama Nyoni na Waziri Mponda lakini kwa mfanyabiashara huyu hakuna kilichofanyiwa kazi..hata hao Takukuru kimya,si wana msemo usemao ANAETOA na ANAEPOKEA wote ni wakosaji
 
Uniform za wafanyakazi wa NBC aliuza kwa bei gani? Maana nasikia alipata fedha ya maana.
 
Back
Top Bottom