Ufisadi kwenye Balozi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi kwenye Balozi zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kinyambiss, Apr 16, 2011.

 1. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  A TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by the Controller and Auditor General’s (CAG) report.

  The Embassies are; Brussels, Rome, Beijing, Tokyo, London, Abu Dhabi, Moscow, Stockholm, Nairobi, Kampala, Addis Ababa, Kigali and Lilongwe. According to CAG annual general report for the year ended June 30, 2010, there were unclear instructions on the reporting of funds remitted by the government at the end of the year in the financial statements.

  The management of the Tanzania Embassy in Abu Dhabi, Saudi Arabia, did not provide evidence from the Permanent Secretary in the Ministry of excess expenditure amounting to
  865.6m/-. Also the management lacked controls to ensure clearance of outstanding matters of previous years audit amounting to 72.2m/-.

  A total of 832.8m/-was spent by the Tanzania High Commission in London above the approved budget without seeking authority from the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, stated the report.

  The government suffered a loss of 88.3m due to delays in settling the outstanding matters by the Tanzania Embassy in Moscow, Russia, amounting to 451.4m/-. The Embassy incurred expenditure of 533.2m/-above the approved budget. A whopping 434m/- monthly deductions for pension contributions from local-based staff in the Tanzania Embassy in Rome, Italy, was not remitted to the respective schemes.

  It is mentioned that the Tanzania Embassy in Brussels (Belgium) did not prepare monthly bank reconciliation statements for revenue, recurrent and deposit accounts for the whole financial year. Records obtained from the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation in Dar es Salaam show a difference of 300m/-.

  This is deducted from a payment of 1.32bn/- that was disbursed to the Embassy in Brussels against 1.02bn/- reflected in the embassy’s financial statements. Also the cash book for recurrent account was poorly recorded since most of the transactions were either omitted or wrongly recorded without being totalled and balanced properly contrary to Reg.126 (3) of the Public Finance Regulations 2001 (revised 2004). Under the circumstance, the correctness of income, expenditure and cash balance figures reported in the financial statements could not be established.

  The Tanzania Embassy in Beijing, China, according to the report, spent a total of 1.3bn/- against the approved budget of 1.1bn/- resulting in an over expenditure of 209.6m/-. The Embassy in Tokyo, Japan, the management should seek retrospective approval from the appropriate authority in respect of over expenditure of 282.7m/-.

  The Tanzania Embassy in Stockholm, Sweden, incurred unapproved expenditure of 117.8m/- which is non adherence to the Appropriation Act. Also a sum of 151.8m/- was paid by the Embassy for breach of house contract. At June 30, 2009, the embassy reported liabilities
  amounting to 369.7m/-. However, at the time of writing this report only arrears amounting to 129.1m/- was settled.

  The Tanzania embassy in Kinshasa ended with an over expenditure of 177.1m/-without neither a supplementary estimates nor approval from the Permanent Secretary, Ministry of Finance. The High Commission in Nairobi, Kenya, recorded over expenditure of 17.7m/- between the Exchequer Issues received of 1.17bn/- and net expenditure of 1.19bn/-. The Embassy spent the amount without reallocation warrant and approval from the Paymaster General.

  During the period under review the Tanzania Embassy in Addis Ababa, Ethiopia, spent 53,533.58 US Dollar and 38,640 Ethiopian Birr (ETB) to incur expenditures which were not stated in the approved annual budget. Tanzania High Commission in Kampala, Uganda, had deposit accounts balance of 36m/- for which details of transaction and the balance outstanding for individual account for each depositor could not be established.

  Also during the period under review the Tanzania High Commission in Kampala spent 77.4m/-to incur expenditures which were not stated in the approved annual budget. The Tanzania Embassy in Kigali, Rwanda, received funds amounting to 78.2m/- without approval of the National Assembly.

  There are unclear instructions on the reporting of funds remitted to the Tanzania High Commission, Lilongwe, Malawi, at the end of the year in the Financial Statements which resulted into non reporting of 14m/-. There were unclear instructions on the accounting of funds remitted at the end of the year in the Tanzania High Commission in Harare, Zimbabwe, for the Financial Statements which resulted into non reporting of 7.3m/-.

  Daily News..

  Mi nadhani hawa watu wote wanapiga matukio yaajabu. Kodi za wakulima zinatafunwa mbaya. Nyie wabunge wa Upinzani embu mbaneni Huyu Membe tafadhali. Who is the shadow minister wa Mambo ya Nje??
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nchi hii ufisadi kila idara
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Baada ya kufuja pesa za walipa kodi bila ridhaa takriban Tsh1 billion mjini London balozi Maajar alizawadiwa nafasi ya kwenda kujikimu katika mji mkuu wa marekani.

  JK ambaye ndiye mfujaji mkuu wa pesa za walipa kodi aliona ni bora ampeleke marekani ili aweze kutumia pesa zaidi na hakutakuwa na wa kumuuliza. Vile vile alimzawadia balozi mpya hadhi ya kibalozi kule SA baada ya kutoa ushirikiano madhubuti wakati akiwa London.

  CCM wanasema ati wamejitoa gamba sasa haya sio magamba mengine? Mchezo anaoufanya JK ni ule ule hawezi kubadilika, hana uwezo wa kutetea maslahi ya walipa kodi wa nchi hii.

   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Interesting...though not clear:yawn:
   
 5. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Mkuu, hizi ni habari nzito sana. Je unaweza kuleta ushahidi wa hili uliloliandika?
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Ushahidi huu hapa chini .... ...  CAG faults 4bn/- use in missions

  Kabla Maajar kuwa balozi alikuwa Ima kama sikosei wengine watasema Rex etc. sasa unaweza kujua zimwi hili linatukula vipi .... ....
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  CHANZO pls ili tuzitafiti mkuu.
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  chanzo ni CAG

  na CAG nadhani wote mshafaham hana credibility kama ambavyo Hosea alivyokuwa hana credibility

  kwa hiyo hii thread ni non starter.

  Infact Mwanaidi hiyo kazi yenyewe alikuwa haitaki maana kazi ya kudeal na mheshimiwa wa Dar si ndogo ati.

  She was making so much money in her private practise as a lawyer kuliko mambo ya kila kukicha anapelekwa reading mara sijui kupeperusha bendera kwenye baridi la Ka-ventri ....and for how much?


  If anything alitakiwa asifiwe kwa kuacha all that kulitumikia taifa

  na huyo swahiba wake pasco alitakiwa atupumzishe na haya madude anayo recyle kila mwaka halafu mwenyewe anaita CAG report.
   
 9. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nchi aliyeilaani kashakufa
   
 10. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280
  Inanifanya nikutilie shaka kwani unaonekana hata facts ndogo tu zinakupiga chenga, ije kuwa hiyo habari kubwa uliyoileta?

  Ji-inform vizuri kama unataka kuwa credible informer.
   
 11. p

  plawala JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninachojua Mwanaidi ana hisa REX ATTORNEYS,waliosaini mkataba wa dowans na richmond,halafu haohao wakatutetea ICC
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kuiba pesa za umma kupitia balozi za nje imekuwa ni njia ambayo ccm wanaitumia sana kwani inaoneka ni vigumu raia kushtukia hizo deal
   
 13. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Lo ajabu sijui hizi hela huko ubalozini zinafanya nini kwa mfano hapa china ukiongelea swala la hela kila siku hawana hela sijui ama kweli ukistaajabu ya musa .................. tusubiri tuone mwisho wake. watu wanaota vitambi tu ukifika ubalozi maisha wanayo ishi nikama wako mbinguni na mazingira ya ubalozi ni mapachafu kupita balozi zote sijui nini ni ujinga au ndio kusema watu wameshaona kila siku wataishi maisha kama hayo lakini siku zinakuja tutapeana heshima tu. kweli Mungu tusaidie
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280


  Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee niwe credible kwa mwanachama kama wewe wa March 2011. Wacha kuchekesha jamii hizi habari zipo Daily News chacha wewe njomba kazi ya kuwatetea makuwadi wa Chama Cha Majambazi hutaiweza walikuwepo hapa watu kama mchambuzi et al na wao walikimbia vile vile itakuwa wewe kimburu. Lete habari basi ambazo ni kubwa na sisi tutaendelea kuleta hizi habari ndogo. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  BTW sina haja ya kuwa informer kwa sababu naweka habari ambazo ziko wazi na kuzitawanya kwa kina ili jamii ya Tanzania ione jinsi Mafisadi na makuwadi kama wewe mnavyojitajirisha kwa mgongo wa walipa kodi.
   
 15. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280  Haya bado hayarekebishi mis information uloleta kwamba 'kabla hajawa balozi Mwanaidi alikuwa IMA'. Sasa ndugu JF member wa kuanzia 2009, IMA - inamaanisha nini?
   
 16. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Thats not an issue whether alikuwa ima au rex ... chamsingi ametafuna almost 1billion kwa kushirikiana na mafisadi. Je, unaweza kuturudishia wewe na vimburu wenzako? Hizi ni pesa za walipa kodi sio zenu, damn it!
   
 17. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280

  Naifahamu IMMA na sio IMA - kama uko keen na details kwenye post ya Wacha.
   
 18. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi Mwanaidi alishawahi kuwemo IMMMA?
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wacha1 unaonyesha dhahiri kwamba uko biased. Kwa nini umemtaja Maajar kwenye title wakati ripoti inaonyesha balozi nyingi tu zimefanya hivyo?

  Na huu ukiritimba ndiyo unaofanya hata hao mabalozi wakatumia fedha vibaya kwani kwa taratibu zetu kuomba ruhusa ya kutumia fedha kwa katibu mkuu na wao wako huko nje ya nchi ni mlolongo usiokuwa na maana. Najaribu kutafakari maombi ambayo wewe mwenyewe upo ofisini yanavyochukua muda mrefu jee hao walioko nje ya nchi?

  Ikiwa budgets zao zimeidhinishwa kwa kila mwaka na fedha zimepelekwa kwa mujibu wa shughuli zilizoainishwa kwenye bajeti, tena maruhusa ya nini? Muhimu ni kwamba ziwe zimetumika ipasavyo siyo kwa matumizi yasiyokuwa na maana. Na hiyo atathibitisha mkaguzi wa mahesabu.
   
 20. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Niko biased kwa sababu yeye ndiye alitumia nyingi kuliko wenzake na bado akapewa ulaji Washington unaonaje hapo? Vile vile na yule wa SA alikuwa hana hadhi ya ubalozi akapewa rasmi sasa katika wizi wa aina ileile wa kila siku na wezi wale wale, Je, hapo nimekukuna?
   
Loading...