Ufisadi kwenye Balozi zetu

Ufisadi kwenye Balozi zetu

Hela zimetumika na 'ametafuna' ni tofauti jamani.. Niyeye kala kweli ama vipi? Mi nadhani waziri ndio abanwe kwasababu ni kitu ambacho kimetokea balozi nyingi.... so it appears to be a systemic problem.
 
chanzo ni CAG

Infact Mwanaidi hiyo kazi yenyewe alikuwa haitaki maana kazi ya kudeal na mheshimiwa wa Dar si ndogo ati.....If anything alitakiwa asifiwe kwa kuacha all that kulitumikia taifa.

Jamani jamani jamani! Ivi kama kazi huitaki siunakataa tu kwani unalazimishwa? Ebu tuwe wawazi kidogo. Hii comment inaulakini. Yaani kutumikia Taifa ndio kusaidia kuficha maovu????
 
Hela zimetumika na 'ametafuna' ni tofauti jamani.. Niyeye kala kweli ama vipi? Mi nadhani waziri ndio abanwe kwasababu ni kitu ambacho kimetokea balozi nyingi.... so it appears to be a systemic problem.

Well said. Tukumbuke kuwa ministry ya foreign affairs hamna accounting ya pesa. Hiyo ni culture iliyojengeka toka Kikwete, January (the so called new face of CCM) et al na wenzie wakiwa kule. Nina watu wangu wakaribu wanafanya huko yaani watu wanajichukulia hela tu hawarudishi wakilindwa na hawa wanaoitwa "wakuu wa itifaki". Yaani nakumbuka nilikua na one of them alikuja nchi fulani hivi alikuwa na viongozi wa serikali. Baada ya mkutano kuisha akaja kunisalimia; that night kiongozi fulani alimpigia simu aidhinishe pesa kiasi fulani kwa sababu lile fungu "mzee" alilopewa amelimaliza kabla safari haijaisha. There is no accounting ya pesa zimetumika vipi/no limitation "kwa watu fulani fulani". Yeye huyo "mkuu wa itifaki mwenye alikua ana-spend si mchezo. Nilichunguza kwa karibu nikagundua hamna mambo ya kua-account wala nini ni wizi mtupu. Hii inakupa picha halisi jinsi the whole foreign ministry imeoza. Mwanaidi is just a fraction of the gang.
 
nchi hii ufisadi kuanzia serikali ya mtaa mpaka rais na mabalozi wake!chukua chako mapema-akiulizwa eti analitumikia taifa!ananyonya taifa si kulitumikia.ndio maana sasa 50yrs tupo nyuma kuliko mkoloni alivyotuacha!darasa la 4 la mkoloni sawa na form 6 wa sasa.reli mashamba aliyoacha mkoloni yapo wapi?
 
Inanifanya nikutilie shaka kwani unaonekana hata facts ndogo tu zinakupiga chenga, ije kuwa hiyo habari kubwa uliyoileta?

Ji-inform vizuri kama unataka kuwa credible informer.

Hiyo quote ya CAG imekupita pembeni?
 
Baada ya kufuja pesa za walipa kodi bila ridhaa takriban Tsh1 billion mjini London balozi Maajar alizawadiwa nafasi ya kwenda kujikimu katika mji mkuu wa marekani.

JK ambaye ndiye mfujaji mkuu wa pesa za walipa kodi aliona ni bora ampeleke marekani ili aweze kutumia pesa zaidi na hakutakuwa na wa kumuuliza. Vile vile alimzawadia balozi mpya hadhi ya kibalozi kule SA baada ya kutoa ushirikiano madhubuti wakati akiwa London.

CCM wanasema ati wamejitoa gamba sasa haya sio magamba mengine? Mchezo anaoufanya JK ni ule ule hawezi kubadilika, hana uwezo wa kutetea maslahi ya walipa kodi wa nchi hii.



Naona listi ilikuwa kubwa pengine unasingle out yule uliye na bifu nae!
 
Wizi na ufisadi sasa umekomaa lakini kwa daily news kutoa hii habari basi ujue Membe yuko jiani kutoswa
 
Ushahidi huu hapa chini .... ...



CAG faults 4bn/- use in missions​






Kabla Maajar kuwa balozi alikuwa Ima kama sikosei wengine watasema Rex etc. sasa unaweza kujua zimwi hili linatukula vipi .... .... [/LEFT]


Kaa ndani ya kiza kwa usichokijuwa! Hizo ni fomalities za kila mwaka na hakuna hatuwa yeyote inayoweza kuchukuliwa. Tatizo nikuwa Serikali inakuwa rigid katika mambo yake huku ikisahau kuwa mambo ya Kidiplomasia hayaendi hivyo. Ungewauliza maafisa walioko balozini wangekwambia jinsi hali ya upatikanaji fedha inavyokuwa ngumu halafu kuambiwa ubalozi umetumia kiasi fulani nje ya budget. Huwa najiuliza basi kwanini huwa wanapelekewa pesa zaidi ya budget yao na hatusikii wanaadhibiwa? Hili linanifanya nihisi kuwa Serikali yenyewe ndiyo inayohusika na matumizi ya ziada katika balozi zetu.
 
A TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by the Controller and Auditor General's (CAG) report.

The Embassies are; Brussels, Rome, Beijing, Tokyo, London, Abu Dhabi, Moscow, Stockholm, Nairobi, Kampala, Addis Ababa, Kigali and Lilongwe. According to CAG annual general report for the year ended June 30, 2010, there were unclear instructions on the reporting of funds remitted by the government at the end of the year in the financial statements.

The management of the Tanzania Embassy in Abu Dhabi, Saudi Arabia, did not provide evidence from the Permanent Secretary in the Ministry of excess expenditure amounting to
865.6m/-. Also the management lacked controls to ensure clearance of outstanding matters of previous years audit amounting to 72.2m/-.

A total of 832.8m/-was spent by the Tanzania High Commission in London above the approved budget without seeking authority from the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, stated the report.

The government suffered a loss of 88.3m due to delays in settling the outstanding matters by the Tanzania Embassy in Moscow, Russia, amounting to 451.4m/-. The Embassy incurred expenditure of 533.2m/-above the approved budget. A whopping 434m/- monthly deductions for pension contributions from local-based staff in the Tanzania Embassy in Rome, Italy, was not remitted to the respective schemes.

It is mentioned that the Tanzania Embassy in Brussels (Belgium) did not prepare monthly bank reconciliation statements for revenue, recurrent and deposit accounts for the whole financial year. Records obtained from the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation in Dar es Salaam show a difference of 300m/-.

This is deducted from a payment of 1.32bn/- that was disbursed to the Embassy in Brussels against 1.02bn/- reflected in the embassy's financial statements. Also the cash book for recurrent account was poorly recorded since most of the transactions were either omitted or wrongly recorded without being totalled and balanced properly contrary to Reg.126 (3) of the Public Finance Regulations 2001 (revised 2004). Under the circumstance, the correctness of income, expenditure and cash balance figures reported in the financial statements could not be established.

The Tanzania Embassy in Beijing, China, according to the report, spent a total of 1.3bn/- against the approved budget of 1.1bn/- resulting in an over expenditure of 209.6m/-. The Embassy in Tokyo, Japan, the management should seek retrospective approval from the appropriate authority in respect of over expenditure of 282.7m/-.

The Tanzania Embassy in Stockholm, Sweden, incurred unapproved expenditure of 117.8m/- which is non adherence to the Appropriation Act. Also a sum of 151.8m/- was paid by the Embassy for breach of house contract. At June 30, 2009, the embassy reported liabilities
amounting to 369.7m/-. However, at the time of writing this report only arrears amounting to 129.1m/- was settled.

The Tanzania embassy in Kinshasa ended with an over expenditure of 177.1m/-without neither a supplementary estimates nor approval from the Permanent Secretary, Ministry of Finance. The High Commission in Nairobi, Kenya, recorded over expenditure of 17.7m/- between the Exchequer Issues received of 1.17bn/- and net expenditure of 1.19bn/-. The Embassy spent the amount without reallocation warrant and approval from the Paymaster General.

During the period under review the Tanzania Embassy in Addis Ababa, Ethiopia, spent 53,533.58 US Dollar and 38,640 Ethiopian Birr (ETB) to incur expenditures which were not stated in the approved annual budget. Tanzania High Commission in Kampala, Uganda, had deposit accounts balance of 36m/- for which details of transaction and the balance outstanding for individual account for each depositor could not be established.

Also during the period under review the Tanzania High Commission in Kampala spent 77.4m/-to incur expenditures which were not stated in the approved annual budget. The Tanzania Embassy in Kigali, Rwanda, received funds amounting to 78.2m/- without approval of the National Assembly.

There are unclear instructions on the reporting of funds remitted to the Tanzania High Commission, Lilongwe, Malawi, at the end of the year in the Financial Statements which resulted into non reporting of 14m/-. There were unclear instructions on the accounting of funds remitted at the end of the year in the Tanzania High Commission in Harare, Zimbabwe, for the Financial Statements which resulted into non reporting of 7.3m/-.

Daily News..

Mi nadhani hawa watu wote wanapiga matukio yaajabu. Kodi za wakulima zinatafunwa mbaya. Nyie wabunge wa Upinzani embu mbaneni Huyu Membe tafadhali. Who is the shadow minister wa Mambo ya Nje??


Eti hii Abu Dhabi imeshahamia Saudi Arabia? Alieipeleka huko ni Mkaguzi au mwandishi wa Habari. Zamani Watanzania tulikuwa tukijuwa geografia na tusingefanya makosa haya!
 
Kaa ndani ya kiza kwa usichokijuwa! Hizo ni fomalities za kila mwaka na hakuna hatuwa yeyote inayoweza kuchukuliwa. Tatizo nikuwa Serikali inakuwa rigid katika mambo yake huku ikisahau kuwa mambo ya Kidiplomasia hayaendi hivyo. Ungewauliza maafisa walioko balozini wangekwambia jinsi hali ya upatikanaji fedha inavyokuwa ngumu halafu kuambiwa ubalozi umetumia kiasi fulani nje ya budget. Huwa najiuliza basi kwanini huwa wanapelekewa pesa zaidi ya budget yao na hatusikii wanaadhibiwa? Hili linanifanya nihisi kuwa Serikali yenyewe ndiyo inayohusika na matumizi ya ziada katika balozi zetu.

Labda huelewi kwamba kuna balozi zetu kama za UK na USA ambazo wanakusanya fedha nyingi sana za Visa kutokana na wananchi wa nchi hizo kutembelea Tanzania, tunapata watalii kama laki nane kwa mwaka na majority wanatoka nchi hizo. Vile vile mafisadi ndio wanatumia hizi balozi kukidhi mahitaji yao kwa shopping nk. Hatuna sababu ya kuwauliza walioko unbalozini kwa sababu hii ni crime kutumia pesa bila kufuata utaratibu ambao umewekwa. Hawa mabalozi ni washiriki wa wizi huu wa pesa za walipa kodi ambazo hata zilivyotumika haieleweki.
 
Ikiwa huo ndiyo mtindo wao asilaumiwe mmoja. Mfumo mzima unahitaji kurekebishwa. Pia ukumbuke kwamba mawaziri na waheshimiwa wengi huenda au kupitia uingereza katika safari zao kwa hivyo high commission hiyo iko busy kuliko balozi nyengine nyingi tulizonazo.

Niliwahi kusikia hata wanajeshi walikuwa hivyo - hakuna accounting. Ukipiga mahesabu unakuta bei ya mchicha au chungwa moja linafika shilingi elfu moja!
 
Naona listi ilikuwa kubwa pengine unasingle out yule uliye na bifu nae!

Kutokana na hiyo list si na wewe andika unayemfahamu kama unamfahamu, ndiyo sababu ya kuwa na Forum unaandika yale unayoona yapo machoni mwako. Mimi nimependelea kuandika ya London na connection to Washington na South Afrika wewe komalia ya UAE au African countries hakuna kesi! Upo kwenye forum andika ukweli kuhusu hili sakata.
 
Back
Top Bottom