Ufisadi kupitia zabuni za NSSF: Dr. Dau na genge lake wawajibishwe!

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,009
2,679
Wakuu,

Ukiipitia leaked document ya Ukaguzi uliofanywa NSSF utabaini madudu ya ajabu. Hebu jioneeni hapa chini.

BTW, hii kampuni ya DERM Electric ni ya nani? Ametokea wapi na kwanini kila kazi anapewa hadi anapewa tenda ileile twice?

Na hii chini ina maana wanachama walishtuka kitambo kuwa shirika linaelekea kusiko?

NSSF_Review.png

Michongo ilikuwa inapigwa hivi, CRB, ERB AQRB mpo wapi? Ni wakati wa kuonyesha uwepo wa Taasisi zenu!

Please note this from CAG:

Regulation 59.(1) of PPR 2013 requires any formal contract arising out of the acceptance of tender whose value is fifty million shillings or more to be vetted by the Attorney-General before the contract is signed by the parties.

Further sub regulation 2 of the same regulations states that; ‘Subject to sub-regulation (1), a contract whose value is fifty million shillings and above, which is not vetted by the Attorney General shall be void’ Contrary to the given Regulations, on review of procurement and procurement management we noted that; the fund procured subcontractors and subcontracting the same to perform various thirteen (13) works in regard of two projects namely ‘Proposed Constructions of Mzizima lot 2&3 and Construction of NSSF Tourist Hotel at Mwanza for price amounting TZS. 79,541,566,752.84

The thirteen signed contracts were not submitted to Attorney General for vetting as required by Regulation 59 (1) of PPR 2013.

NSSF_Part1.png

NSSF_Part(1).png

NSSF_Part3.png

NSSF_Part4.png

NSSF_Part5.png

NSSF_Double_deals.png

NSSF_Part6.png

NSSF_Double_deals.png
 
Uyo DERM niwale walochangamsha pale makumbusho barabara ni kampuni ya Mtu na Mdogo wake...na ni mfanyakazi wa NSSF au alikua sina uhakika kama bado yupo NSSF
 
Uyo DERM niwale walochangamsha pale makumbusho barabara ni kampuni ya Mtu na Mdogo wake...na ni mfanyakazi wa nssf au alikua sina uhakika kama bd yupo nssf
That tells a lot.

Wamepewa kazi nyingi sana na NSSF. Na ukiangalia, CAG amebainisha kuwa hazikufuatwa taratibu na wala Mwanasheria wa Serikali hakuhusishwa

Angalia jumla kalamba kiasi gani:

nssf_part-1-png.335037
 
Sidhani kama kuna mfuko wenye afadhali kama si serekali basi wenyewe wamefisadi sijui kama tutalipwa mafao yetu.
 
kuna haja ya kutoishia kutumbua wakurugenzi wakuu pekee,
mamlaka za kinidhamu zishughulikie ngazi zote katika taasisi zenye uvundo,uozo na kansa ya ufisadi,matumizi mabaya ya madaraka..

wakurugenzi wote wa idara kuu wanapaswa kuwajibishwa na kuchukuliwa hatua kali na stahiki za kinidhamu na kiuchunguzi...

Akaunti zao zizuiwe na mali zao {Makampuni yao,hotel zao,majengo yao} zishikiliwe mpaka ukweli utakapokamilika.

SSRA,Wakurugenzi wa idara hizi wajipime,wajitafakari na wajitathmini ikiwa bado wanapaswa kuaminiwa kusimamia michango ya wanachama/miradi ya uwekezaji kwa niaba ya wanachama..

NSSF -Director of Planning, Projects and Investments

NSSF-Director of Finance and Administration

NSSF-Director of Internal Audit/Chief Accountant

NSSF-Director of Operations

NSSF-Director of Legal Affairs

NSSF-Procurement Director

Project Managers

Investments Managers
 
Well said mkuu.

Inaelekea kuna Syndicate ambayo inatakiwa kufumuliwa kwenye mashirika ya umma. Hii michezo inashangaza sana.

Watu hadi wanaandaa watu wa kuwalilia kwenye media kumbe lengo ni kuficha uozo huu.

Hivi Dau amepelekwa nchi gani vile?
 
Moja ya wamiriki wakuu wa Derm Electric ndugu/Eng. Ridhiwan Mringo ana undugu wa karibu/ushemeji na Ndugu/Eng. Msemo {Project Manager-NSSF}...........................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
 
Kwa hisani ya JF:
1. Mwenye Derm Electrics anaitwa Ridhiwan Mringo. Yeye amesoma Bsc in Electrical Engineering UDSM

2. Yassin Mringo ana kampun ya inaitwa Y&P architect amesoma architecture UDSM-UCLAS.

Hao ni ndugu tumbo moja na kampuni zao ni kubwa hapa mjini
Then:
Ina maana vyombo vya usimamizi wa maadiri ya watendaji waandamizi na viongozi havijui hizi tuhuma lukuki zinazoelekezwa kwa hawa watuhumiwa waandamizi wa uhujumu nchi {kijamii,kisiasa,kiuchumi}? Tunafanyaje kuviwajibisha vyombo husika na watendaji wake?
Then >>>
Inawezekanaje kandarasi kubwa zikatolewa kwa misingi ya udini pale NSSF {Mfano: Inawezekana kweli Kandarasi nyingi za umeme kwenye majengo mengi zilizotolewa kwa Kampuni ya DERM Electric zilitolewa kwa upendeleo wa Ubora/Unafuu/kufahamiana/undugu/udini (Zipo taarifa ya kwamba meneja miradi ni shemeji mtu na mmiliki wa kampuni husika?){Conflict of Interests zilikuwa declared}.

Japo itakuwa ni majungu kuanza kupiga kelele kwamba mmiliki wa kampuni ya Derm electric ambayo imekuwa ikifanya kazi nyingi nyeti za ukandarasi wa umeme (NSSF) ni jipu kwa sababu anamiliki vitega uchumi lukuki vya majengo ya thamani kubwa kwa kipindi kifupi au amenunua nyumba nyingi makumbusho na Kijitonyama.
 
Moja ya wamiriki wakuu wa Derm Electric ndugu/Eng. Ridhiwan Mringo ana undugu wa karibu/ushemeji na Ndugu/Eng. Msemo {Project Manager-NSSF}...........................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Maana yake hawa watu walikiwa wanapasiana tu tenders.
 
Tanzania ilikuwa kama shamba la bibi-Rais Magufuli.

Kila mwenye nafasi alikuwa anakula kulingana na urefu wa kamba ya nafasi yake.

Repoti ya CAG ilikuwa haina umuhimu wowote kwenye awamu zilizopita!
 
Back
Top Bottom