Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

Nataka nihakikishiwe authenticity ya hizi shutuma na hizo documents kabla sijaanza kusema chochote.
 
eti msukumo. kwa namna hiyo kila matakataka yakifanywa na watu wa idara etc chini ya wizara yake itakuwa kasukuma yeye?
 
Kujenga mabondeni kama umejipanga sio tatizo ndio maana Yanga wanataka kujenga Stadium pale Jangwani

Labda hayo mengine tuyajadili.
 
kwakuwa bandari ipo chini ya mwakyembe madudu yakifanyika bandarini ni msukumo wa mwakyembe?

Akipenda chongo huita kengeza. Soma Mwananchi na Citizen utaona. Wizara ndio iliyosuka dili na unavyomjua Mwakyembe,tusidanganyane hakuna kinachopita pale bila mkono wake na ukizingatia hilo ni dili kubwa.
 
Gamba punguza mahaba na chama cha majambazi, kwanza uwe unasoma kabla hujatuma ujumbe angalia kwenye nyekundu hapo.
Ulitaka akwambie nini, wakati umeambiwa tenda haikutangazwa?

Wewe lazima utakuwa kijana wa bavicha, maana bavicha ndio wenye tabia za kurukia mambo wasiyoelewa.

Unajua kuwa hii thread imekuwa editted na wakati nauliza hilo swali mwanzisha thread alikuwa hajaweka piece inayosema kuwa tenda haijatangazwa?

Tatizo lenu kila mahali mnaleta tabia za bavicha!!!
 
KKKT-DMP KIJITONYAMA WAZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI


Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jana imezindua Jengo la ghorofa tisa lijulikanalo kwa jina la Kijitonyama Lutheran Centre sambamba na uzinduzi mwingine wa nyumba ya ghorofa moja ambayo usharika wa Kijitonya umeinunua nayo ikiitwa Kijitonyama Lutheran Centre Annex.

Uzinduzi huo ulifanywa na Askofu mkuu wa Kanisa hilo Dr.Alex Gehaz Malasusa. Gharama za ujenzi wa jengo hilo kubwa na ununuzi wa nyumba hiyo umeligharimu kanisa hilo takribani shilingi za kitanzania bilioni 3.5 Jengo hilo litatumika kwa shughuli za kiofisi na nyingine kama zitakavyobainishwa na hapo baadae.

Katika uzinduzi huo ulioambatana na ibada askofu huyo aliwaasa wakristo kujitokeza kwa wingi katika kuchangia mchakato wa kupata katiba mpya.

attachment.php


My take: Akitafutwa mkandarasi huru Billion10 zaweza kutengeneza eneo la Sukita likawa na thamani mara tatu ya huu mradi usio kuwa na bla bla na ufisadi
 

Attachments

  • kkkt kijitonyama.jpg
    kkkt kijitonyama.jpg
    78.1 KB · Views: 536
Safari imeshaanza siku nyingi , bila kujipanga , kuna kuumia tena, thanks to Chadema kwa kuendelea kuibua huu ufisadi
 
Kujenga mabondeni kama umejipanga sio tatizo ndio maana Yanga wanataka kujenga Stadium pale Jangwani

Labda hayo mengine tuyajadili.

Kha, nyie ccm tena mmeshindikana, KUJENGA MABONDENI SIO TATIZO; jamani jamani tumuogope Mungu nyie watu, yale mafuriko yaliyowapeleka watu mabwe pande pia sio tatizo. Huoni kwamba kujengwa maeneo ya mabondeni ndio kumesababishwa mafuriko yale kwa kuwa njia ya maji imezuiwa? Yeyeyeyeye! Kwa kweli watanzania ni wendawazimu sana kuwachagua nyie ccm.
 
Hii Mijamaa ni majambazi sijapata kuona... na mwisho wenu unakaribia... lazima tuwa nyonge aki ya nani..........
 
utakubali tu!
huu ni ufisadi wa wazi wazi kabisa. Tunajua Sukita ni mradi wa CCM, sasa TPA mpaka kuwekeza hapo kuna makubaliano gani na CCM?

Pili yaani ku level ground, kuweka pavements, kuweka majengo ya ofisi ndogo za walinzi, vyoo na kuzungusha fensi iwe 10BN??

Huu wizi wa mchana watanzania tusikubali
 
..who is the current TPA managing director??..and which were the other companies competing for this tender??..kama kampuni haionekani hata kwenye register ya BRELA..leo wanapataje tender?...ebu watu wa PPRA waseme hii inawezekanaje?...hizo kampuni nyingine zilizo compete kwenye hii tender nazo zijulikane...ili tuweze kuzilinganisha..kutokana na uzoefu wao kikazi.....This tender seems to be shoddy to me.....inanuka...
 
Mpaka leo Nape hajasema Kagoda ni kampuni ya nani?kumtaja Rostam,MANJI anaogopa halafu eti unabadiliji jina toka SUKITA kwenda JITEGEMEE ili mchote kodi zetu za magari,nyambaf kabisa.JENGENI RELI MASIKA HAIPITIKI nyie mnaenda kurundika mizigo msimbazi!halafu bandari ya bagamoyo bado mnajenga bila kufikiria outlets za mizigo
 
dk. mwakyembe hawezi ingia kwenye tope la wazi kihivo. dk. piga kazi.


Kumbe na wewe unamfahamu kuwa huwa anachukua mshIko angalau kwa kujificha!!! Ndio hilo nililosema kuwa wote ni wachukuaji hawa magamba iwe kwa wazi au kwa kujificha!!!
 
ufisadi kwenye serikali umekithiri, hata ajira kwenye taasisi za serikali hutolewa kindugundugu.
wanaletwa kama vibarua halafu huajiriwa bila kufuata utaratibu wowote mfano RUBADA.
 

Moja ya matatizo yetu makubwa katika mijadala ni 'kuua' backgrounds za issues. Jambo hili pia limeanza kuathiri uandishi wa habari kwa kiasi kikubwa sana. Si sahihi kuandika habari nzuri bila kuweka 'background'. Sijajua kwenye maandiko ya tafiti kama iko siku sehemu hiyo muhimu pa inaweza kuanza kupuuzwa.

Katika mjadala unaotaka kuoneshwa kuwa 'mkali' (magazeti karibu yote leo yameripoti), unaoendelea kuhusu Dk. Mwakyembe kubadilishwa portfolio, tujadili huku tukijikumbusha pia.

Mwingine anaweza kutukumbusha mengine, tuanze na hili la mwaka juzi.

http://www.fikrapevu.com/chadema-wamlipua-mwakyembe-kwa-ufisadi-kama-wa-epa/
 
hakuna kitu hapa. ufipa mmechoka......mnapasha kiporo sasa
 
makene ni kanjanja.....mwakyembe ni best minister anayetajwa kwenye urais so makene anahangaika ku turnish image yake
 
Back
Top Bottom