Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

Nasikia CHADEMA wameliongelea hili leo. Vyombo vya habari nina shaka kama wanazo nyaraka zenyewe. Nitaomba wakuu wanisaidie kuweka hizi nyaraka tuangalie namna fedha zinavyopangiwa matumizi kiajabu ajabu na tufikirie namna gani tunaweza kuepukana na namna hizi za utendaji ambao unakiuka hatua zote za zabuni

Ndo maana CHADEMA chama changu.......mara zote inapiga ikulu, hizi ndizo hoja za nguvu, achana na propaganda za sumu. Ila nimeshangaa duuh, mpaka Mwakyembe
 
halafu nimesearch hii kampuni Jitegemee Trading Company BRELA wala haijasajiliwa
yaonekana imeanzishwa mwaka huu huu kwa ajili ya ufisadi kama zile kampuni za EPA.

Hembu watuambie CIVIL work experience ya kampuni hii

Nawaaminia vijana wa kazi, hapa hakuna porojo ni data na facts
 
Kwahiyo hapa hoja ni kwamba tenda haijatangazwa. Hoja hii ina mashiko. Sasa tunamuomba Mwakyembe au uongozi wa TPA wapinge hilo kwa vidhibiti na wakifanya hivyo mjadala umekwisha itaonekana kuwa walioanzisha mjadala huu wana chuki zao za kisiasa tu.

Haya mwakyembe (Wizara) na TPA uwanja ni wenu sasa. Tenda imetangazwa lini?

Dont wait for something which u secret believe that it will not happen
, ivi wewe una uchungu kweli na nchi hii, leo sheria imepindishwa hivi kwa wengine kesho itapindishwa dhidi yako
 
CHADEMA bana, zile pikipiki za CHADEMA tuliambiwa tenda ya kuziagiza na kutengeneza nembo alipewa Mh.Mtei na gharama yake inalipwa kwa pesa ya ruzuku (pesa ya umma). Mbona mlinyamaza hiyo?
 
CDM bana, zile pikipiki za CDM tuliambiwa tenda ya kuziagiza na kutengeneza nembo alipewa Mh.Mtei na gharama yake inalipwa kwa pesa ya ruzuku (pesa ya umma). Mbona mlinyamaza hiyo?
mambo ya chama utauliza kwenye vikao vya chama,hapa tunaongelea suala la umma bila kujali itikadi.HUU NI WIZI WA MCHANA.tsh 10BN for parking trucks????hembu waache upuuzi wakajenge nyumba za waalim ya tsh50m kwa familia 2.
 
Kweli CCM hakuna msafi na haitokuja kutokea mpaka itakapokufa
 
Sasa unachotaka kijadiliwe ni nini maana hujaonyesha kama kuna kanuni zimiukwa.

Gamba punguza mahaba na chama cha majambazi, kwanza uwe unasoma kabla hujatuma ujumbe angalia kwenye nyekundu hapo.
Ulitaka akwambie nini, wakati umeambiwa tenda haikutangazwa?
 
SASA KAMPUNI NI YA NANI?? Ni ccm ?? Mwakyembe ,Membe,au nani?? Naona hueleweki,-na wewe unaumwa UGONJWA wa WATAKA URAIS ,so far Mwakyembe Hana UJINGA huo,wee andika tu na gazeti LAKO,UKWELI UTAJULIKANA
 
masikini CHADEMA SASA YAINGIWA KIWEWE KWA MWAKYEMBE. ILO NI JEMBE LIMESHUSHWA TOKA KWA MUNGU. JIPANGENI MSUBIRI AIBU 2015
 
Umeandika 10000000000Bl ama? samahani nauliza tu ili nizidishe au nigawanye tsh?
 
CDM bana, zile pikipiki za CDM tuliambiwa tenda ya kuziagiza na kutengeneza nembo alipewa Mh.Mtei na gharama yake inalipwa kwa pesa ya ruzuku (pesa ya umma). Mbona mlinyamaza hiyo?
Unaonekana una interest na chama kuliko Tanzania, CCM, CHADEMA, CUF vyooote vitapita ila Tz itasimama siku zote
 
wakati wa saga ya richmond mwakyembe alikuwa mwenyekiti wa ile tume wakati akiwa na mgongano wa maslahi kwa kumiliki kampuni ya kuzalisha umeme kwa upepo,..ccm wote ni mafisadi na mwakyembe hana tofauti na jk
 
Jitegemee Trading Company haipo, CHADEMA watakuwa wame-hack website ili kufuta ushahidi?
Welcome to Companies Search Page

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] Search counter: 00330023
[/TD]
[TD="align: right"]Search Count.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Search by :Company Name Registration Number Date(dd/mm/yyyy)
A value is required.

[TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TH="width: 20%"]Company Registration #[/TH]
[TH="width: 65%"]Company Name[/TH]
[TH="width: 10%"]Date Of Incoporation[/TH]
[TH="width: 10%"]Type of Registration[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]8097[/TD]
[TD="width: 65%"]TANZANIA JITEGEMEE PRODUCTS LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]26/12/1980[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]17719[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE WOMENGROUP CO.LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]22/02/1990[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]31798[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE DISTRIBUTORS LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]11/04/1997[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]43821[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE GOODS PORTAGE AND SECURITY COMPANY LTD[/TD]
[TD="width: 10%"]21/06/2002[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]44337[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE SECURITY SERVICES LTD[/TD]
[TD="width: 10%"]02/09/2002[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"] 45245[/TD]
[TD="width: 65%"] JITEGEMEE MINING AND CONTRACTION CO LTD [/TD]
[TD="width: 10%"]27/01/2003[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TD="colspan: 4, align: center"]1 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kwakuwa bandari ipo chini ya mwakyembe madudu yakifanyika bandarini ni msukumo wa mwakyembe?
 
Kwa Mwakyembe mmepotea.
Mtaumbuliwa bure,

Mwakyembe anawahadaa nyie wadanganyika kwani yeye ni fisadi kama hao wenzie katika chama chao; huko Kyela miaka yote anashindauchaguzi kwa kuhonga mnadhani hizo fedha anapata wapi kama sio miradi ya magumashi kama hiyo?
 
dk. mwakyembe hawezi ingia kwenye tope la wazi kihivo. dk. piga kazi.
 
Back
Top Bottom