Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

Ufisadi: Jitegemee Trading Company, mmiliki nani?

halafu nimesearch hii kampuni Jitegemee Trading Company BRELA wala haijasajiliwa
[TABLE="align: center"]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TH="width: 20%"]Company Registration #[/TH]
[TH="width: 65%"]Company Name[/TH]
[TH="width: 10%"]Date Of Incoporation[/TH]
[TH="width: 10%"]Type of Registration[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]8097[/TD]
[TD="width: 65%"]TANZANIA JITEGEMEE PRODUCTS LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]26/12/1980[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]17719[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE WOMENGROUP CO.LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]22/02/1990[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]31798[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE DISTRIBUTORS LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%"]11/04/1997[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]43821[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE GOODS PORTAGE AND SECURITY COMPANY LTD[/TD]
[TD="width: 10%"]21/06/2002[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]44337[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE SECURITY SERVICES LTD[/TD]
[TD="width: 10%"]02/09/2002[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]45245[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE MINING AND CONTRACTION CO LTD[/TD]
[TD="width: 10%"]27/01/2003[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TD="colspan: 4, align: center"]1 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
yaonekana imeanzishwa mwaka huu huu kwa ajili ya ufisadi kama zile kampuni za EPA.Hembu watuambie CIVIL work experience ya kampuni hii
 
Ndugu zangu. Katika kuelekea uchanguzi 2015 makampuni hewa yaanza kuzinduliwa na CCM.
Mwakyembe adaiwa kuwa na sura mbili. Ukweli halisi upo kwenye link hiyo hapo chini.
Benson Kigaila Mkurugenzi wa Mafunzo amenena hayo.

CHADEMA tv - YouTube
 
halafu nimesearch hii kampuni Jitegemee Trading Company BRELA wala haijasajiliwa
[TABLE="align: center"]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TH]Company Registration #[/TH]
[TH="width: 65%"]Company Name
[/TH]
[TH="width: 10%"]Date Of Incoporation[/TH]
[TH="width: 10%"]Type of Registration[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]45245
[/TD]
[TD="width: 65%"]JITEGEMEE MINING AND CONTRACTION CO LTD
[/TD]
[TD="width: 10%"]27/01/2003[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #1ca2b2"]
[TD="colspan: 4, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
yaonekana imeanzishwa mwaka huu huu kwa ajili ya ufisadi kama zile kampuni za EPA.Hembu watuambie CIVIL work experience ya kampuni hii
Hii RED umeipata BRELA? I see...!
 
Mtasema .... Ni ya Riz1

Yani washirika wa Riz-one mnashida sana, ndio kawatuma mkae hapa JF muwe mnampelekea taarifa? Hivi watanzania na hasa vijana mtaacha lini kuwatawaza hawa watoto wa vigogo?
 
Hayo maneno wamepewa na mzee wa mvi

Anataka kulipiza kisasi?
Baada ya kushindwa kwa ushirikina na Ajali wakaamua kumpa sekta ngumu wakidhani wanamkomoa.
Mungu si Athumani jamaa anafanya vitu vya maana, sasa wamemtega kwa Propaganda hizi?
WASHINDWE NA KULEGEA...
 
Kwahiyo hapa hoja ni kwamba tenda haijatangazwa. Hoja hii ina mashiko. Sasa tunamuomba Mwakyembe au uongozi wa TPA wapinge hilo kwa vidhibiti na wakifanya hivyo mjadala umekwisha itaonekana kuwa walioanzisha mjadala huu wana chuki zao za kisiasa tu.

Haya mwakyembe (Wizara) na TPA uwanja ni wenu sasa. Tenda imetangazwa lini?
 
wadau hapa tunaitaka serikiali ije na majibu halisi, otherwise kitanuka. haiwezekani kodi yangu waitumie ovyo ovyo tu.
 
[video=youtube_share;juYRnq35TVg]http://youtu.be/juYRnq35TVg[/video]
 
Kwahiyo hapa hoja ni kwamba tenda haijatangazwa. Hoja hii ina mashiko. Sasa tunamuomba Mwakyembe au uongozi wa TPA wapinge hilo kwa vidhibiti na wakifanya hivyo mjadala umekwisha itaonekana kuwa walioanzisha mjadala huu wana chuki zao za kisiasa tu.

Haya mwakyembe (Wizara) na TPA uwanja ni wenu sasa. Tenda imetangazwa lini?

Vipi C.Lukosi anaendeleaje.Nasikia mnampeleka South Africa kwenye matibabu!
 
Hakika uko wapi kwamba ni ya CCM?

Kabla ya kukosoa fanya tafiti 1, eneo lile ni mali ya chama cha majangili (jina timilifu).
Hiyo kampuni wamemodishwa lile eneo toka mmiliki wa awali? Je unaelewa mana ya SUKITA na mmiliki wake?
 
Ninasubiri ile tuliyokuwa tunaipigia kelele kuwa haipo, ile kitu inaitwa responsible Journalism ndipo niweze kutoa maoni yangu....sitaki kufanana, nahitaji balanced story.
 
Vipi C.Lukosi anaendeleaje.Nasikia mnampeleka South Africa kwenye matibabu!

Tatizo lenu vijana wa BAVICHA hamjui kutofautisha mambo serious na mambo ya utani. Hii ni mada serious, utani tupeleke kule kwa thread ya Dr. A Paurine. Kila kitu na mahali pake...
 
Kwani yule HUTAKI UNAACHA yuko wapi ? Nimem miss sana enzi zile mambo hizi angeshatuambia mkuu na jamaa zake wanasemaje

Siasa ni mchezo mchafu sanaa....
 
Back
Top Bottom