Ufisadi halisi uko hapa!

Ufisadi halisi uko hapa!

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,448
Reaction score
992
Kuna njia mbili za kuonyesha kupingana na maamuzi ya taasisi unayoiongoza au kushirikiana nayo kiutendaji.

Moja ni kupinga maamuzi yote kwa uwazi bila kuogopa.

Mbili ni kujiuzuru na kuacha uovu wa taasisi au chama kile usihusike nao kamwe.

Sasa mnaopingana na ukweli wa mada Kuhusu UFISADI NDANI YA CCM NAOMBA niambieni ni Nani Mwenye Haki YA kupinga ufisadi na rushwa kwa Ujumla wake sasa kati ya wagombea Urais Tanzania Ni E.N. Lowassa au J. P. Magufuli MAANA mpaka Leo MMOJA anamsifu mmojawapo wa waliotajwa kama mafisadi na anakaa nae Meza moja wakifanya maamuzi pamoja bila kupinga Tena ya Nchi na Lowassa sio tu kajiondoa na kajisafisha kuwa Hahusiki na ufisadi wala taasisi ya CCM pia alijiuzuru mapema akiamini na kusema 'Najiuzuru kulinda Serikali NCHI' maana ccm sio baba yangu wala mama yake.
 
UFISADI HALISI UPO CCM,na wameiba mali za umma kwa miaka zaidi ya 50. Watanzania hatutawapa kura wagombea wa CCM. KURA YETU NI KWA LOWASSA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
 
CCM ndio yenye mafisadi wakuu Tanzania hii.
 
Hivi Lowasa alijisafisha nini? Mbona kila siku anazidi kujichafua?
 
Mbowe anakopesha chama mikopo hewa alafu anarudi kudai marejesho kwa riba ya 100%
 
Ccm bado kujisafisha ila inatuhumu walioondoka ccm kuwa walikuwa mafisadi yenyewe itajisafisha lini na watu wake?
 
Iwe kwa CCm au nani sijui au hata kama ni mjomba wako,mafisadi si wa kuonea haya hata kidogo.
 
Hivi Lowasa alijisafisha nini? Mbona kila siku anazidi kujichafua?

Bora yeye hasafishwi na kutetewa hadharani na Mkuu wa kaya kama mafisadi wa CCM,yaani Chenge,Tubaijuka na Muhongo.
 
Ukimuita lowasa fisadi utakua unasukumwa na uccm usio na maslahi kwako wala kwa ndug jamaa marafiki.lowasa kamtaja fisad
 
Ukimuita lowasa fisadi utakua unasukumwa na uccm usio na maslahi kwako wala kwa ndug jamaa marafiki.lowasa kamtaja fisad

kati ya lowasa na dr slaa nani tumwamini anachonena ni kikweli
 
kwani wewe hujui kuwa yeye hajaiba ila Kikwete na wale waliofikishwa kwenye kamati ya maadili?
 
kwani wewe hujui kuwa yeye hajaiba ila Kikwete na wale waliofikishwa kwenye kamati ya maadili?

kwahiyo zile kauli za dr slaa na cdm kuwa lowassa ni fisadi ni zakuzipuuza tu? je watanzania waendelee kukiamini cdm kwa kusingizia watu kuwa mafisadi ilihali cyo mafisadi?
 
Ishu si kumpigia kura liwasa bali ishu ni kwamba lowasa nae ni jizi kama mijizi ya ccm,sasa umpigie au usimpigie kura ujue yeye ni jizi pia,hakuna lugha nyingine ya kupamba hapa tutakua hatuna akili wala maana yoyote.
 
Back
Top Bottom