Coke Zero
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,024
- 544
Kumbuka kuwa Lowassa kainunuwa chadomo baada ya kukatwa kugombea CCM.
Kanunua mpaka akili zao!
Kumbuka kuwa Lowassa kainunuwa chadomo baada ya kukatwa kugombea CCM.
Hata waweke JIWE na LOWASA bado nitachagua JIWE
kwahiyo kama ccm wanawalinda majambazi nanyinyi mkaona bora mlinde jambazi kuu lowassa.kweli cdm ccm b
Kumbuka Lowasa hakulindwa wanaolindwa wapo ccm mpaka leo wamepewa majimbo ya kugombea pamoja na kashfa.
Lakini Lowassa alijiuzuru , kisiasa maana yake ni kuruhusu tuhuma zichukuliwe hatua mbele zaidi kisheria bila mhusika kulindwa na madaraka yake swali mbona hawakufuata taratibu kisheria baada ya mtuhumiwa kujiuzuru? kwa nyingine waliona hahusiki na ufisadi nayeye mwenyewe kajisafisha kuwa ilikuwa ni amri toka juu ba hahusiki kamwe kama ccm wanaona kuna ufisadi mwendesha mashitaka wa serikali anafanya nini ofisini kwake amfungulie kesi kama hawana kesi wakae kimya maana ufisadi uko ndani yao.
mbona 2010alishikwa mkono na mkuu kule monduli na kumnadi kuwa lowasa ni mtu safi asiye na tatizo mpeni kula awe mbunge wa monduli.vp hakuwa fisadi?au msafi wa nguo?piiiiiiiipoooooooz!✌✌✌
kumbuka kuwa lowassa kainunuwa chadomo baada ya kukatwa kugombea ccm.