Yale yale ya Ulimboka!
Tulikuwa tunawaamini lakini ufisadi wa Bohari ya madawa na kujiuzuru kwa mawaziri hakuhusiani..Je, walitaka viongozi wa Bohari kuu washitakiwe au wafukuzwe kazi - Hapana, tulijua kwamba bohari huagiza Pamba kutoka India badala ya kutumia Pamba yetu - Hapana, isipokuwa mgomo ulilenga kumtafuta MTU fulani aadhibiwe kwa majibu ama jeuri na sii ukosekanaji wa vifaa na madawa. Hili ndilo tulilopinga, madaktari hawakutumia Busara hata kidogo...yale madaktari waliyokuwa wanasema cku zote mpaka kugoma watu mlikuwa amuamini mpaka azungumze mzungu au?
Hii si ilibinafsishwa?
Tulikuwa tunawaamini lakini ufisadi wa Bohari ya madawa na kujiuzuru kwa mawaziri hakuhusiani..Je, walitaka viongozi wa Bohari kuu washitakiwe au wafukuzwe kazi - Hapana, tulijua kwamba bohari huagiza Pamba kutoka India badala ya kutumia Pamba yetu - Hapana, isipokuwa mgomo ulilenga kumtafuta MTU fulani aadhibiwe kwa majibu ama jeuri na sii ukosekanaji wa vifaa na madawa. Hili ndilo tulilopinga, madaktari hawakutumia Busara hata kidogo...
Kusema aseme mzungu bwana maana tunamuita investor...wengine twapiga keleleyale madaktari waliyokuwa wanasema cku zote mpaka kugoma watu mlikuwa amuamini mpaka azungumze mzungu au?
Hapo pekundu ndipo sisi tuliacha kuwapa support.. Wewe mtu unahitaji vitu hivi muhimu sana unakuja weka mgomo kwa sababu ya waziri ajiuzuru wakait wananchi wanaendelea kufa hata baada ya waziri mkuu kukubali kuzungumza na nyie?.. Huoni kama walitumia ujinga fulani japokuwa kweli mawaziri hao alitakiwa kujiuzuru.. Unaposema hatutaki kufanya kazi hadi waziri ajiuzuru tayari umeondoa nguvu ya hoja yako ya msingi...Na ndio maana walikataa vyama au mtu yeyote kujihusisha na mgomo wao kama ni kitu personal..Mkandara,
Mkuu pamoja na kwamba suala la madai ya maslahi binafsi ya madaktari ndio yalionekana kutajwa mara kwa mara, lakini ukweli ni kwamba walikuwa na madai ya kutaka uboreshwaji wa mazingira ya kazi, ikiwa ni pamoja na vitendea kazi na madawa. Hili la kushinikiza Nkya na Mponda wajiuzulu lilikuja baadae lakini tangu awali walipokutana na waziri mkuu walimfahamisha juu ya hayo yote.
Pamoja na kwamba madaktari hawakuitaja msd moja kwa moja lakini kwa kutaja vitendea kazi na madawa basi hapo unaizungumzia msd.
Pamoja na kwamba baadhi hamkupenda uamuzi wa madaktari kugoma, lakini wengine tuliwaunga mkono na tutaendelea kuwaunga mkono hadi hapo serikali itakapokuwa sikivu, maana hii ya sasa bila mgomo au maandamano mambo hayaendi!!
A very good answer to the ignorant fellow...Mkandara,

Nakubaliana na huyo mzungu kwa yote aliyoeleza, ila sikubaliani na wachangiaji hasa jinsi wanavyoliona tatizo hili. TATIZO SI MSD, huwezi kuilaumu MSD bila kuilaumu serikali, mfano mzungu huyu anahoji, kwa nini tununue gozi nje wakati tunalima pamba? jibu ni rahisi, maana serikali haina vipaumbele, kwa nini tuendelee kununua hata dripu za maji toka nje baada ya miaka 50 ya uhuru??? msd inunue wapi gozi na vifaa tiba wakati hawalipwi kwa wakati?? imejipanga vipi kisera kuhakikisha kuwa tunainua viwanda vya ndani vya utengenezaji wa dawa na kuacha kasumba ya utegemezi wa dawa toka nje???MSD ni tatizo kama ilivyo tanesko.ubaya ni kwamba matatizo yake yanasaidia mafisadi na wabadhilifu wa mali ya umma kujilimbikizia mali.
Tupiganie kupata mshindani!
Kama mlikuwa hamjui;
Baada ya hili kugundulika, baadhi ya Halimashauri/wilaya sasa ufunguzi wa dawa kuna kamati maalumu inayohusisha wadau wote.
- MSD huwa wanapeleka maboksi hewa ya dawa kwenye halmashauri
- Dr wa halimashauri/wilaya akifungua na kukuta hamna kitu inakula kwake
- Madiwani/wananchi wanasema ma Dr wanauza dawa
- Ma Dr wanakuwa frusturated
- Wanawaacha wananchi wajifie, wanafanya kadri wanavyoweza.
na katabia haka sijui kama kanaendelea au vipi, ila kwa sababu mwizi ni mwizi tu inawezekana wakaunda mbinu nyingine kwa sababu;
Kwa msingi wa hizo gharama hapo juu msitegemee watanzania wataacha kuwa wezi, vijana tuungane kwa sasa ili tuikomboe nchi.
- Hao wezi/mafisadi wanasomesha watoto wao international academy
- Wana magari yanayotumia mafuta kila siku
- Wanatoa michango mikubwa ya harusi
- Wanabiashara zinazojiendesha kwa hasara (kwa sababu hakuna accountability ya profit, akipata hela anaongezea kwenye mtaji)
- Kama ni wanaume wananyumba ndogo walizozipata kwa kuonesha wana hela hivyo wanahitajai kumaintain status
- n.k.....