Ufi ipo au haipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufi ipo au haipo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Questt, Jun 25, 2010.

 1. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari zenu Wadau.....

  kama kuna yeyote mwenye data juu ya kiwanda cha uzalishaji wa Zana za Kilimo cha Ufi kilichopo Ubungo naomba anijulishe....Kuna kipindi kilikua kimesimama uzalishaji. so nanchoomba niyeyote mwenye deatils juu ya kiwanda hiki...Kinazalisha??? na kama yes kinazalisha vifaa gani vya kilimo???

  Natanguliza Shukurani.

  Mdau
   
 2. M

  Makfuhi Senior Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kwamba sijaingia kwenye kiwanda hicho ni kwamba kimeacha uzalishaji wa zana za kilimo na kinazalisha steel Pipes. Hata jina limebadilishwa. Mwanzoni kulikuwa na majina mawili kwenye ukuta wa kuingilia yaani UFI NA TSP. SASA UFI limeondolewa limebaki TSP.
   
Loading...