UFC & Mixed Martial Arts

UFC & Mixed Martial Arts

Nyani, kwani nawe unazipiga?!
....mimi nilicheza zamani sana jijitsu (kama aka 12 hivi), ila najiona bado wamowamo, saa nyingine nakuwa najiamini kupita kiasi haswa haswa nikiwa navinjari viwanja utafikiri itanisaidia vile, hali ugomvi wa mle ni wa vyupa, spring knives na ukiwa na bahati mbaya sana bastola!! Ni ile hali tu yakuwa unajua/ulijua kitu ndiyo inakuingia na kukututumua kichwa haswa pale tungi linapopanda!!
image.jpg
 
Miaka hiyo wengine wazo la kumiliki simu tunajua halipo miaka ya karibuni na uwepo wa JF hatuujui

Nipo JF kila siku asee
Kwel kabisa...


Naona angle zako sijakukuta ...
Nimefurahi kuona upo ubaki Salama mkuu
 
Mimi nilichezaga kung fu na tai chi nikaishia mkanda mweupe

Ila sasa nimechoka ukija vibaya nakupa chuma ya makalio tu ukafie mbele!
 
Inasemekana alikua anatumia Asteroids
Pamoja na madawa yake ila jamaa anaskills za mapigano balaa. Francis Ngannou anangumi nzito ila hana skills kama Bones nilitamani sana hili pambano litokee.
 
What a night hii ya white house ilikua Worth it... Usingizi wangu haujaenda bure😃


Good thing ni kwamba Ilia kapigwa... Gaethaje is legend saivi hakutakua na kelel za Ilia Vs Islam tena


Niliangalia kwa sababu Ya Alex Perreira naona heavy weight sio kwake kabisa but tutaona atakavyo bounce back kabakiza mapambano Saba maana alisign Contract ya mapambano nane
 
Back
Top Bottom