kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,058
- 689
Mtu aliyewahi pata division zero kidato cha Sita, Elimu yake ya juu ya kuunga unga hawezi kuwa na fikra za mtu wa ufaulu wa division One.
Kuwapa mamlaka ya kuongoza si tafsiri tumewapa pia mamlaka ya kufikiri kwa niaba yetu.
Nini tafsiri ya uhuru wa habari kama malengo yatakua mtuoneshe yale tu yapendazayo mioyo yenu baada ya kufanyiwa uhariri.
Is that a country of MANNERS you promised to build?
NB: TFF= TANZANIA FOOTBALL
FEDERATION.
Na sio TFF= TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION