Ufasaha ni upi?

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
WanaJFnaomba mnitoe katika utata wa maneno haya mawili.kwenye tukio la mlipuko wa mabomu pale Gongo la mboto baadhi ya vyombo vya habari hutumia maneno haya:
A: WAHANGA wa mabomu
B: WAATHIRIKA wa mabomu
je neno lipi ni sahihi kutumika?
 
Waathirika wa mabomu ndio sahihi. kwa uelewa wangu ninadhani kusema "wahanga" ni kama hao walioathirika na mabomu wamejitakia
 
Back
Top Bottom