Ufaransa yasitisha Misaada ya Kimaendeleo Nchini Mali

Ufaransa yasitisha Misaada ya Kimaendeleo Nchini Mali

Nyuklia ni Energy, nchi inahitaji Energy ya kutosha kutoka ulimwengu wetu huu wa tatu kwenda uchumi wa kati. Morocco si Nchi tajiri sana ila angalau wameshatoka kwenye Umasikini wa Ki Africa, wana Hela kuliko nchi masikini za ulaya kama Ukraine.
Gharama za kuhudumia unazijua ?
 
Hana analolijua hata kuandika hajui. Ana ushindani wa kitoto mno.
akili yako imejaa ushabiki wa kitoto na kwa akili hizo Urusi pia anakuja atatunyonya tukimchoka mtamkaribisha mwingine , Siku ukija elewa my point itakuwa ni vitukuu vyako , HAKUNA ANACHOMA MAFUTA KUTOKA ULAYA HADI AFRIKA KUJA KUKUJENGEA NCHI YAKO
 
4by94 angalia hii video mkuu kama utaelewa.

ufaransa kaua watu sana Africa, si tu kuua alikuwa anakata watu vichwa anakata na Uume na kuchomeka kwenye mdomo kisha wanapiga picha huku wanacheka. wana makumi kwa maelfu ya mafuvu kwenye museum zao wakionesha waafrica waliouliwa kugombania uhuru, mpaka leo huko Mali drones zao zinaua vitoto visivyo na hatia na wala hawaombi msamaha, wanabaka, wanaiba na maovu kibao.
umeelewa ninachoandika au ndo unaletq ushabiki wa kitoto , mtaendelea kulia lia sana kama msipofungua akili zenu kupambana
 
Kujenga kizazi kilichobomolewa na haohao unaowapigania?

Ili kurudisha heshima hatuna budi kurudi nyuma na kusimama wenyew tofaut na hizi ngonjera mnazoleta
ndicho nimekuwa naandika toka huko juu , huez lia lia kila siku wakati ww ndo unakaribisha wanyonyaj , HOJA YANGU TULINYONYWA KWASABAB YA KUKOSA MAARIFA NA SIO VINGINEVYO MAANA HAWAJAWAI VAMIA NA KUTUFORCE BALI WAMEKUWA WANATULAGHAI KWA VITU VDG HLF TUNAACHIA MALI ZETU , kituko leo 2022 mnatoa Ufaransa halaf mnamkaribisha Urusi , sasa hapa mbona mmebadilisha mnyonyaj , hiki ndo nakosoa lzm tuwe na maarifa sio tunadanganyika kitoto hv , maika 50 baadae mtakuwa mnamlalamikia Urusi kuwanyonya , wkt nyiny ndo mnamkaribisha kwa shanğwe kama babu zetu walipowaribisha hao wafaransa kwa shangwe
 
Dawa ya mwizi ni kuzungushiwa tairi then unatia kibiriti, na hivi ndio tutwafanya wezi wote haijalishi ni mzungu au mwarabu au muhindi au mchina, dawa yao moto tu
Mmekuwa walalamikaj sana vitendo zero , Serikali zenu zinazopenda rushwa kila zikiferi zinawatumia wazungu kujitetea kwa wajinga
 
unaijuwa maana Ya SURVIVAL FOR THE FITTEST , hii ni nature ya viumbe hai wale wenye nguvu hunufaika na wadhaifu , badala ya kulalamika tunapaswa kupambana kuwa STRONG , UNITED KINGDOM iliwai tawaliwa pia ila walipambana na wakaitawala Dunia pia USA ilitawaliwa walipambana wakaitawala dunia pia CHINA ilitawaliwa ila wamepambana na WANAENDA ITAWALA DUNIA , Hakuna utakacho kipata kwa msaada wa MACHOZI bila kutoka JASHO , AFRIKA tunapenda mseleleko sana , leo hii hata mabunge yetu tunategemea tujengewe na CHINA kwel hatuna ma ENGINEER wetu kufanya hii kaz ? hao wazungu waliwekeza CHAMBO kwa mababu zetu na kwa tamaa zao basi wakahodhi mali za Afrika kwa Wafaransa , wakwanza kuwalaumu ni babu zetu na sio waliotunyonya maana wao wana pambana kusurvive ila babu zetu ubinafs wao ndo uliliuza bara hili., badala ya kujifunza na kujirekebisha , sisi tupo bize kufunika makosa ya mababu zetu kitu kitakachofanya wajukuu waje warudie makosa yale yale ya babu zetu , HUWEZI KUFANIKIWA BILA KUKUBALI MAPUNGUFU YAKO
Sawa mfaransa wa kiburugwa tumekuelewa
 
Ficha ukichaa wako , Ukraine hajawai itawala Afrika tumia hoja nyingine kumsapoti Urusi pia nkukumbushe Urusi hajavamia tu Ukraine pekee yake pia Moldova na Georgia , Wengi wenu mnaomsapoti Urusi ni wale weny akili ya kushikiwa yaana mnaambiwa juu ya ukolon hlf pia mnaambiwa sijui Urusi anapinga Ushoga pia mnadanganywa Urusi anapigana na NATO , JMN FUATILIENI KABLA YA KUSAPOTI ndan ya Urusi ushoga ni mwingi sana hadi porno za kirusi za mashoga zipo , Pia Urusi ndio taifa pekee lenye makolon mpk mwaka 2022 , Pia Urusi ameua waislam wengi sana kama USA
Wewe utakuwa shoga si bure!! Umesikia huko Corolado USA walivyowafanya mashoga wenzako?? Usiichukie Urusi bila kujua sababu ya kuvamiwa kwa Ukraine. Amevamiwa kwa sababu ya kiwahifadhi Manazi ambayo yanatumiwa na NATO ikiwemo USA kwa nia ya kuiangamiza Urusi hapo baadae hivyo mrusi akashituka.

USA baada ya kupigwa na Osama aliianza kuwatafuta magaidi duniani kote pia nchi zilizowahifadhi hao magadi na kuwavamia ikiwemo Afaghan, hivyo Ukraine lazima apihwe tu. Kumbuka pia miaka ya 70s USA alizuia Cuba kuweka makombola ya Urusi nchini mwake kwa sababu ya usalama wake ma Urusi ikakubali haikuweka makombola pale kwanini NATO wamataka kuweka silaha karibu na Urusi?? Acha mashoga wapigwe tu iwe Ukraine ama USA kwenyewe kama walivyowafanya huko Corolado!!
 
Gharama za kuhudumia unazijua ?
Gharama ya kuhudumia haizidi faida zake. Nchi zote ambazo zipo juu kitechnology zinatumia ama zilitumia Nyuklia.


Nyuklia ina Gharama kubwa kujenga mtambo tu ambao unaweza chukua hadi trilioni 50, ila ukishajenga mtambo gharama ya megawatt inashuka inakuwa around dola 30. Hivyo tunaongelea around shilngi 70 kwa kila unit.

Weka umeme shilingi 70 kwa unit Tanzania uone viwanda vitakavyoongezeka na wawekezaji kibao watakuja.
 
Back
Top Bottom