4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
Kwavile huelew hoja fupi kama hiyo basi niseme uafrika umekuhathiri , lazima ukubali kilichowafikisha ufaransa pale walipo ni maarifa yao na sio Mali maana hata Mali isingekwepo wangefika pale walipo maana wanajua kutumia fursa acha ubishi wa kitoto , Viongoz wa waafrika hawana maarifa na uzalendo , wao wanafikiria matumbo yao , familia zao na watu wao wa karibu , SASA KAMA UNABISHA NA HILI PIA KICHWAN UTAKUWA NA MATATIZO SIO BURE , mtu anayo mali na hapigi hatua unasema ana akili timamu huyo ? sio kila kitu cha kibishana aseeKwa akili zako hizo. Kwa heri.