Ufaransa yasitisha Misaada ya Kimaendeleo Nchini Mali

Ufaransa yasitisha Misaada ya Kimaendeleo Nchini Mali

Mali wanajiingiza choo cha kike , hawajifunz kwa Ukraine , Urusi sio wa kuzoea , anataka uwe rafik yake tu na hata siasa zako zianzie Moscow , ukipindua unakuwa umeyaoga mazima , Ingekuwa kinyume Ufaransa ndo anapata Ushawish nchi Mali na Urusi ndo anapoteza Ushawish nchini Mali , Urusi asingetoka kirahis mpk vita ingetokea ila Ufaransa anajiondoa kwa aman ila anasitisha misaada yake kwenda Mali
Mrusi hajawahi kutawala Afrika hata siku moja ila hao Wafaransa, NATO na USA ndio wanainyonya sana Afrika. Mrusi hakuwa na Koloni hata moja hapa Afrika.

Tatizo la Ukraine ni ile tabia yake ya kutumiwa na NATO ili kuihujumu Urusi ndicho kinachomgharimu. Ukraine anawahifadhi Manazi ndio maana anapigwa na Mrusi. Kama ambavyo USA alivyokuwa anawatafuta magaidi kila nchi inayowahifadhi kama alivyovamia Afaghan na Iraq.
 
Misaada huwa ni kwa faida ya watawala na sio watawaliwa
 
Wew ni mpumbav , km huelew nlichoandika bas una mtindio wa Ubongo , Kila tunapoibiwa ujue wanaofungua milango ni waafrika wenzetu na ndio maana Hawawez kwenda China au Urusi maana sabab hakuna wabinafs km babu zako , Badala ya kumlaumu mzungu laumu kwanza babu zako waligeukana na kumpa mwanya mzungu kuja kututawala , SIJAWAI WALAUMU WAZUNGU MAANA HATA SISI TUNGEKUWA STRONG TUNGEWATAWALA AU HATA WAIBIA MALI ZAO , HUWA NAWALAUMU BABU ZENU WALIO COLLABORATE NA WAZUNGU , SILAHA DUNI SIO INSHU MAANA ETHIOPIA ILIMPIGA ITALY NA HIZO HIZO SILAHA DUNI
Kwani wewe hujui kuwa babu zetu walipigana sana na hao wazungu? Ila walikuwepo wasaliti kama wewe hukumbuki Mkwawa alisalitiwa na mtu kama wewe ambaye unapinga kila jitihada zinazofanywa na watz!!?
 
sion mantiki ya swali lako , waafrika mtaendelea kuwa mbuz mpk mjitambue , mpo huru miaka 60 hado mnalalamika tu kuwa ukolon ndo umewafanya maskin kana kwamba dunian kuna sehem haikuwai kutawaliwa
Huna ulijualo hata mwandiko wako unakuumbua.
 
Sa
Wew ni mpumbav , km huelew nlichoandika bas una mtindio wa Ubongo , Kila tunapoibiwa ujue wanaofungua milango ni waafrika wenzetu na ndio maana Hawawez kwenda China au Urusi maana sabab hakuna wabinafs km babu zako , Badala ya kumlaumu mzungu laumu kwanza babu zako waligeukana na kumpa mwanya mzungu kuja kututawala , SIJAWAI WALAUMU WAZUNGU MAANA HATA SISI TUNGEKUWA STRONG TUNGEWATAWALA AU HATA WAIBIA MALI ZAO , HUWA NAWALAUMU BABU ZENU WALIO COLLABORATE NA WAZUNGU , SILAHA DUNI SIO INSHU MAANA ETHIOPIA ILIMPIGA ITALY NA HIZO HIZO SILAHA DUNI
Sasa hapa kwa maelezo haya nani mpumbavu?
Yaani uwe strong na umtawale mzungu?
Ok hayo tuyaache, ya nini kuwa mwizi?
Kuiba kwa naman yeyote hakufai, huwezi kuondoa kosa kwa kosa, yaanimwizi kakuibia kwahiyo hukumu yake na wewe umuibie?
We jamaa acha masihara isee
Yaaani hata angalau nyamaza ufiche upumbavu wako
 
Kwani wewe hujui kuwa babu zetu walipigana sana na hao wazungu? Ila walikuwepo wasaliti kama wewe hukumbuki Mkwawa alisalitiwa na mtu kama wewe ambaye unapinga kila jitihada zinazofanywa na watz!!?
Jamaa anatetea wazunguuuu, labda ana sababu zake huwezi jua😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
mimi ni mtz sio mzungu , Morocco anazid kuingizwa cha kike gharama za kuhudumia nyuklia energy unaijua , nchi yenyew maskin , wangesema miundo mbinu ningekubali , hiyo ni mitego kama ya china kwenye kiundo mbinu
Nyuklia ni Energy, nchi inahitaji Energy ya kutosha kutoka ulimwengu wetu huu wa tatu kwenda uchumi wa kati. Morocco si Nchi tajiri sana ila angalau wameshatoka kwenye Umasikini wa Ki Africa, wana Hela kuliko nchi masikini za ulaya kama Ukraine.
 
Dawa ya mwizi ni kuzungushiwa tairi then unatia kibiriti, na hivi ndio tutwafanya wezi wote haijalishi ni mzungu au mwarabu au muhindi au mchina, dawa yao moto tu
 
Sa

Sasa hapa kwa maelezo haya nani mpumbavu?
Yaani uwe strong na umtawale mzungu?
Ok hayo tuyaache, ya nini kuwa mwizi?
Kuiba kwa naman yeyote hakufai, huwezi kuondoa kosa kwa kosa, yaanimwizi kakuibia kwahiyo hukumu yake na wewe umuibie?
We jamaa acha masihara isee
Yaaani hata angalau nyamaza ufiche upumbavu wako
Hana analolijua hata kuandika hajui. Ana ushindani wa kitoto mno.
 
Wafaransa wanatumia mali za Africa. Mwisho sasa. Watu wa upinde kila wakisikia urusi ipo mahali, roho inawauma
View attachment 2423017
4by94 angalia hii video mkuu kama utaelewa.

ufaransa kaua watu sana Africa, si tu kuua alikuwa anakata watu vichwa anakata na Uume na kuchomeka kwenye mdomo kisha wanapiga picha huku wanacheka. wana makumi kwa maelfu ya mafuvu kwenye museum zao wakionesha waafrica waliouliwa kugombania uhuru, mpaka leo huko Mali drones zao zinaua vitoto visivyo na hatia na wala hawaombi msamaha, wanabaka, wanaiba na maovu kibao.
 
jifunze kutoweka ushabiki kwen mijadala ya kujenga kizaz cha baadae
Kujenga kizazi kilichobomolewa na haohao unaowapigania?

Ili kurudisha heshima hatuna budi kurudi nyuma na kusimama wenyew tofaut na hizi ngonjera mnazoleta
 

Attachments

  • VID-20221121-WA0023.mp4
    3.8 MB
Mrusi hajawahi kutawala Afrika hata siku moja ila hao Wafaransa, NATO na USA ndio wanainyonya sana Afrika. Mrusi hakuwa na Koloni hata moja hapa Afrika.

Tatizo la Ukraine ni ile tabia yake ya kutumiwa na NATO ili kuihujumu Urusi ndicho kinachomgharimu. Ukraine anawahifadhi Manazi ndio maana anapigwa na Mrusi. Kama ambavyo USA alivyokuwa anawatafuta magaidi kila nchi inayowahifadhi kama alivyovamia Afaghan na Iraq.
Ficha ukichaa wako , Ukraine hajawai itawala Afrika tumia hoja nyingine kumsapoti Urusi pia nkukumbushe Urusi hajavamia tu Ukraine pekee yake pia Moldova na Georgia , Wengi wenu mnaomsapoti Urusi ni wale weny akili ya kushikiwa yaana mnaambiwa juu ya ukolon hlf pia mnaambiwa sijui Urusi anapinga Ushoga pia mnadanganywa Urusi anapigana na NATO , JMN FUATILIENI KABLA YA KUSAPOTI ndan ya Urusi ushoga ni mwingi sana hadi porno za kirusi za mashoga zipo , Pia Urusi ndio taifa pekee lenye makolon mpk mwaka 2022 , Pia Urusi ameua waislam wengi sana kama USA
 
Kwani wewe hujui kuwa babu zetu walipigana sana na hao wazungu? Ila walikuwepo wasaliti kama wewe hukumbuki Mkwawa alisalitiwa na mtu kama wewe ambaye unapinga kila jitihada zinazofanywa na watz!!?
duh ushaniita msaliti kwa kukuelemishen kuwa mlitawaliwa kwa kzidiwa maarifa ? KWELI MKIITWA NYAN HAWAKOSEI HATA MUWEKEW UBONGO ARTIFICIAL NYNY NI ZERO MNAPENDA KUAMBIWA MNAYOYAPENDA TU
 
Huna ulijualo hata mwandiko wako unakuumbua.
na uchiz wako ndo fursa ya hao unawalalamikia kukunyonya , huez fanikiwa kama unapenda kulalamika kila muda , dunian lazima upambane ii ufikie malengo yako , usitegemee kuna vya kuletewa , mkiendelea kuwa omba omba hata Urusi mtakuja mkataaa
 
Sa

Sasa hapa kwa maelezo haya nani mpumbavu?
Yaani uwe strong na umtawale mzungu?
Ok hayo tuyaache, ya nini kuwa mwizi?
Kuiba kwa naman yeyote hakufai, huwezi kuondoa kosa kwa kosa, yaanimwizi kakuibia kwahiyo hukumu yake na wewe umuibie?
We jamaa acha masihara isee
Yaaani hata angalau nyamaza ufiche upumbavu wako
unaijuwa maana Ya SURVIVAL FOR THE FITTEST , hii ni nature ya viumbe hai wale wenye nguvu hunufaika na wadhaifu , badala ya kulalamika tunapaswa kupambana kuwa STRONG , UNITED KINGDOM iliwai tawaliwa pia ila walipambana na wakaitawala Dunia pia USA ilitawaliwa walipambana wakaitawala dunia pia CHINA ilitawaliwa ila wamepambana na WANAENDA ITAWALA DUNIA , Hakuna utakacho kipata kwa msaada wa MACHOZI bila kutoka JASHO , AFRIKA tunapenda mseleleko sana , leo hii hata mabunge yetu tunategemea tujengewe na CHINA kwel hatuna ma ENGINEER wetu kufanya hii kaz ? hao wazungu waliwekeza CHAMBO kwa mababu zetu na kwa tamaa zao basi wakahodhi mali za Afrika kwa Wafaransa , wakwanza kuwalaumu ni babu zetu na sio waliotunyonya maana wao wana pambana kusurvive ila babu zetu ubinafs wao ndo uliliuza bara hili., badala ya kujifunza na kujirekebisha , sisi tupo bize kufunika makosa ya mababu zetu kitu kitakachofanya wajukuu waje warudie makosa yale yale ya babu zetu , HUWEZI KUFANIKIWA BILA KUKUBALI MAPUNGUFU YAKO
 
Back
Top Bottom