Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Ni baada ya kukamilisha hatua yake ya kukomesha uwepo wake wa kijeshi wa miaka 10 nchini humo na kuishutumu Mali kuwa na Ushirikiano na Kundi la Wagner linalosemekana kuwa mamluki wa Russia
Hatua hiyo inatajwa kuhatarisha makumi ya miradi ya maendeleo ambayo inaendelea au iliyopangwa nchini humo katika miaka ijayo
Kusimamishwa huko kunakuja huku kukiwa na ongezeko la kutengwa kwa Mali na Nchi nyingine, baada ya Uingereza kutangaza itawaondoa Wanajeshi wake 300 wa kulinda amani kutokana na ushirikiano wake na Urusi
.................
France has suspended development assistance to Mali after finalising its move to end its 10-year military presence in the country, a foreign ministry source told the AFP news agency.
French media quoted the foreign affairs ministry as saying it had suspended aid over "the attitude of the Malian junta allied to the Russian Wagner mercenaries".
The decision was said to have been taken "two to three weeks ago".
A group of French NGOs are said to have denounced the decision in a letter sent to President Emmanuel Macron on Tuesday, calling on him to review the position.
According to the NGOs, the suspension of aid jeopardises dozens of development projects that are under way or planned in the country over the coming years.
This suspension comes amid the increasing isolation of Mali.
The UK on Monday said it would withdraw its 300 troops deployed in support of the UN peacekeeping mission there over the junta's partnership with the Russian group Wagner.
Chanzo: BBC