Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,720
UFARANSA WANAUA WATU SYRIA DUNIA IMEKAA KIMYA!
Ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake, zinafanya mashambulizi ya maana nchini Syria, katika kile kinachodaiwa kulipiza kisasi kwa kundi la ISIS linalodaiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea katika maeneo sita tofauti nchini Ufaransa.
Mashambulizi ya ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake ambayo hayana tofauti na yale yanayoitwa "mashambulizi ya kigaidi", yanagharimu maisha ya wasio na chembe ya hatia, tumeshuhudia watoto wadogo wakiuawa mithili ya dagaa, watu wazima, wanawake na makundi mengine yasiyo na hatia wanakatizwa maisha yao kama vile ni kunguni hawana thamani yeyote ya kuishi ulimwenguni!
Waswahili wanasema "vita haina macho", naam, maana kinachotokea nchini Syria katika vita ya Ufaransa na washirika wake dhini ISIS inagharimu maisha ya mamia ya wasiokuwa na hatia, najiuliza hivi viko wapi vyombo vya habari vya Kimataifa? Mbona kimya? Sijui hawauoni huu UGAIDI wanaofanyiwa wananchi wa Syria kwa mgongo wa ISIS?
Yako wapi matamko ya Jumuiya za Kimataifa? Umoja wa Mataifa wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea! Wako wapi wamiliki wa mtandao wa 'facebook' wa kutushawishi kubadili 'profile pictures' zetu ili kuwaombea watu wa Syria?
Ufaransa na washirika wake wanafanya 'mijishambulizi' iliyovuka kiwango nchini Syria, dunia imekaa kimya! Yalipotokea Ufaransa dunia nzima ilihamia Paris, matamko ya kulaani yalitolewa kila pembe ya dunia, watu wakabadilisha 'profile' zao eti kuonesha kuguswa na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Paris, Ufaransa!
Inakadiriwa watu 159 walipoteza maisha katika mashambulizi ya Paris, lakini idadi ya wanaoendelea kufa nchini Syria kwa mashambulizi hayo hayo ya kigaidi yanayofanywa na 'wazungu' imevuka hiyo ya Ufaransa, dunia imekaa kimya! Wanataka kutuaminisha kuwa damu ya mzungu thamani yake ni kubwa mno ukilinganisha na damu ya wasiokuwa wazungu?
Mwenyezi Mungu ndiye pekee mwenye kusimamia haki!
Nawasilisha.
Ally Mohammed,
Zanzibar,
Tanzania,
Email : allymohammed01@gmail.com,
Simu ya mkononi : + 255 655 572 594,
Simu ya mezani : + 255 732 940 023.
 
Waafrika , waarabu , wahindi hawana thamani zaidi ya wazungu... Ndio maana hata wakifa waafrika 100 hakuna mtu anasikitika ,lakini akifa mzungu hata mmoja dunia nzima inasikitika,... ajabu sana
 
Miwani ya dini inakufanya usione ukweli. France inashambulia maskani ya Isis Syria. Ni maeneo ambayo Ni adui hata kwa wana Syria wenyewe na ndio maana wanakimbia nchi yao ukiachilia mbali rebels wanaotaka mpindua Assad.

Hii sio vita ya dini Ni vita dhidi ya ugaidi usitake watetea is kisa tu ni waislam.
 
well said, Isis imeshakuwa janga la kidunia, kama mtoa mada angekuwa kwenye viatu vya wafaransa angefanyaje? wakati ufaransa wanaenda Syria tayari ulishakuwepo umwagaji damu( sio kwamba umeletwa na wafaransa) naomba mtoa mada atusaidie kuwa hao Isis wanapochinja watu(waislamu wakiwemo) wanataka kuachieve nini
 
Mleta mada bila shaka inaonekana una ndugu yako ambae yuko huko raqqa syria kwa magaidi wenzake, kwa ushauri tu mwambie ajisalimishe mapema sababu jana UN imetoa idhini ya kila gaidi duniani auawe.
 
Nani alianza kumpiga mwenzie? Kama nimetulia halafu ukanichokoza, hakika utalipa mara mbili. Na mara nyingi magaidi hutumia raia kama kinga yao, mfano utakuta command post zao zipo hospitali, mashuleni ili wakipigwa ionekane raia wanaonewa...
 
Miwani ya dini inakufanya usione ukweli. France inashambulia maskani ya Isis Syria. Ni maeneo ambayo Ni adui hata kwa wana Syria wenyewe na ndio maana wanakimbia nchi yao ukiachilia mbali rebels wanaotaka mpindua Assad.

Hii sio vita ya dini Ni vita dhidi ya ugaidi usitake watetea is kisa tu ni waislam.
gaidi unamshambulia kwa ndege?,sawa na kuua nzi kwa kutumia mashine gun,
upotevu wa resource tu,
 
kwa nini wasyria hawakimbilii saudi, qatar, iraq etc, badala yake wanakimbilia UFARANSA HUKOHUKO?
 
Kwa hili swali sahau kupata majibu murua. Jiulize kwanini nchi za Kiarabu pamoja na utajiri wote walionao. Sio kimbilio la wanyonge, sahau kupata majibu
 
Na wapigwe hasa. Nani aliwaambia wachokoze wenzao. Kulalamika tuuuu... wakati wale watu 159 wanauwa bila hati Ali Mohamed ulisema nini?

Wawaue hao magaidi hata kama wapo laki. Hakuna cha haki wala ndugu yake. Na kama wamejichanganya na raia pia wauwawe na wao maana ndo wanawapa ngao (human shield)!!
 
Wauwawe tuu piga kabisa haya majitu ningekuwepo ningewapiga tafu niwe front line nan aliwaambia wakachokoze mzinga wa nyuki mchana
 
UFARANSA WANAUA WATU SYRIA DUNIA IMEKAA KIMYA!
Ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake, zinafanya mashambulizi ya maana nchini Syria, katika kile kinachodaiwa kulipiza kisasi kwa kundi la ISIS linalodaiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea katika maeneo sita tofauti nchini Ufaransa.
Mashambulizi ya ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake ambayo hayana tofauti na yale yanayoitwa "mashambulizi ya kigaidi", yanagharimu maisha ya wasio na chembe ya hatia, tumeshuhudia watoto wadogo wakiuawa mithili ya dagaa, watu wazima, wanawake na makundi mengine yasiyo na hatia wanakatizwa maisha yao kama vile ni kunguni hawana thamani yeyote ya kuishi ulimwenguni!
Waswahili wanasema "vita haina macho", naam, maana kinachotokea nchini Syria katika vita ya Ufaransa na washirika wake dhini ISIS inagharimu maisha ya mamia ya wasiokuwa na hatia, najiuliza hivi viko wapi vyombo vya habari vya Kimataifa? Mbona kimya? Sijui hawauoni huu UGAIDI wanaofanyiwa wananchi wa Syria kwa mgongo wa ISIS?
Yako wapi matamko ya Jumuiya za Kimataifa? Umoja wa Mataifa wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea! Wako wapi wamiliki wa mtandao wa 'facebook' wa kutushawishi kubadili 'profile pictures' zetu ili kuwaombea watu wa Syria?
Ufaransa na washirika wake wanafanya 'mijishambulizi' iliyovuka kiwango nchini Syria, dunia imekaa kimya! Yalipotokea Ufaransa dunia nzima ilihamia Paris, matamko ya kulaani yalitolewa kila pembe ya dunia, watu wakabadilisha 'profile' zao eti kuonesha kuguswa na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Paris, Ufaransa!
Inakadiriwa watu 159 walipoteza maisha katika mashambulizi ya Paris, lakini idadi ya wanaoendelea kufa nchini Syria kwa mashambulizi hayo hayo ya kigaidi yanayofanywa na 'wazungu' imevuka hiyo ya Ufaransa, dunia imekaa kimya! Wanataka kutuaminisha kuwa damu ya mzungu thamani yake ni kubwa mno ukilinganisha na damu ya wasiokuwa wazungu?
Mwenyezi Mungu ndiye pekee mwenye kusimamia haki!
Nawasilisha.
Ally Mohammed,
Zanzibar,
Tanzania,
Email : allymohammed01@gmail.com,
Simu ya mkononi : + 255 655 572 594,
Simu ya mezani : + 255 732 940 023.

Magaidi wauwawe popote walipo.
 
Mkuu Ally Mohammed kwanza pole kwa kuguswa na nayayotokea Syria pia nakushkuru kwa kuona unafiki wa watu weusi nikiwemo mimi. Nimeshangaa sana karibia marafiki zangu wote Facebook kubadili profile zao na kuweka bendera ya Ufaransa. Wakati wa mauaji ya kigaidi Kenya pale Westgate na Garrissa ukweli ni kwamba hakuna rafiki yangu hata mmoja aliyebadiri profile yake na kuweka ya Kenya kama nilivyoona juzi huko Ufaransa. Huo naita ni upumbavu na kujikomba kupita kiasi na naamini wengi wenu humu jf wamebadirisha prof zao kwa sababu ya upumbavu na akili mgando. Pamoja na maelezo yako kaka mimi nataka kukushauri kuwa hasira za Wafaransa chanzo ni makundi ya itikadi kali yakitumia dini na kitabu cha dini yako ndivyo sivyo. Hivyo ndugu yangu tumia muda mwingi kuhubiri upendo hasa mnapokuwa kwenye ibada (kuswali) tofauti na hivyo haya unayoyaona Syria yatazidi kusambaa dunia nzima kwani mtu anayelipiza kisasi hufanya mara mbili zaidi ya tukio lilivyokuwa awali. Makundi haya yenye itikadi kali tunayo kwenye jamii zetu,tunakula nao,tunasali nao na tunashiriki nao kazi mbalimbali na wanajulikana. Hivyo nategemea utakuwa umenielewa na utalifanyia kazi hili wazo.
 
Baada ya shambulizi la 9/11 lilofanywa na wayahudi usa ikapata ridhaa ya kuivamia afghanstan,Baada ya vita ya ghuba 90s silaha za maangamiz ambazo hazikuonekanwa ikawa kigezo kuivamia Iraq same to Paris attack,Libya etc,jiulize nini REASON BEHIND?tafakari
 
well said, Isis imeshakuwa janga la kidunia, kama mtoa mada angekuwa kwenye viatu vya wafaransa angefanyaje? wakati ufaransa wanaenda Syria tayari ulishakuwepo umwagaji damu( sio kwamba umeletwa na wafaransa) naomba mtoa mada atusaidie kuwa hao Isis wanapochinja watu(waislamu wakiwemo) wanataka kuachieve nini

Hapana...haya ni mauaji ya kinyama na chuki tu.
Tunajua ufaransa imepigwa..na pole yao..sasa jiulize jee kuna msyria katika hao magaidi ?
Jee hao isis wanatoka wapi ? Ni wasyria?
Ukweli hakuna raia wa syria ambaye ni gaidi. Syria ni taifa lilojengwa kwa misingi ya utaifa mbele na uzalendo. Ni taifa lililoengwa kwa misingi ya kisasa na elimu. Sio taifa lilojengwa kwa imani kali.
Isis sio raia wa Syria . Isis wanatoka ulaya wanatoka France
Belgium
German
UK.
Chechenia
Tunisia
Libya kwa mssada wa france.
Saudi
Australia.
Raia wa huko ndio walosafiri kwenda syria kusimika utawala wa kiimla kwa msaada wa nchi zao.
Sasa kwenda kuua watoto
Kuua wanawake
Kuua wazee kwa kisa cha isis ni makosa ya kivita.
Na kusema kuwa sawa france wana haki ya kwenda syria kuua ukweli sasa dunia imekua kichaa na watu wote ni vichaa na wendawazimu..scavengers
 
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma

Nafikiri ulitaka kusema hivi... Magaidi wengi ni waislamu ila sio waislamu wote ni magaidi... imani ni bora kuliko dini.
 
Back
Top Bottom