Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Switzerland si mwanachama wa EU, kama ilivyo Norway.Ufaransa, UK, Germany, the Netherlands, na Switzerland ndio nchi zenye uchumi mkubwa ndani ya EU, hii inaleta hali ya mashaka mbeleni.
Kaka, Uturuki haijawahi kukubaliwa maombi yake ya kujiunga na EU, wamekua wakitoa sababu kila mara za kuikatalia. Siasa za kihafidhina za Uturuki ndizo zinafanya mambo yanakuwa magumu.Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
acha porojo, hizo ni dalili kuwa mwisho uko mbali sana. Mwisho ukifika patakuwa na muungano mkuu na waajabu sana, hata zile nchi unazodhani haziwezi kuungana hapo zitaungana, siku ukiona Japan, China, Korea kusini na Kaskazini zinaungana na Rusia na USA pamoja na India, Pakistani na afghanistani, Uturuki, Yemen na Siria hapo ndo mwisho utakuwa umefika. NWOhizi ndo dalili za mwisho wa dunia
OK number moja,pilitically ni kwamba UK itakuwa kivyake na haitakuwa inafuata muongozo wa European union,kwa mfano issue za kugawana wakimbizi,pia maamuzi ya pamoja kama muungano wa ulaya,UK hawatakuwemo tena yaani watakuwa wanaamua mambo yao wenyewe bila kuingilia na EU,pili kulikuwa na free movements baina wananchi wa nchi zilizo mwanachama wa EU,hivyo sasa hivi itakuwa inatakiwa viza,i mean Waingereza sasa watakuwa wana control miapaka yao ,in short sasa UK wanakuwa huru maana kuna maamuzi mengine ilikuwa inabidi wafuate mkumbo tu as far as walikuwa wanachama wa Muungano wa ulaya,sasa wapo free like a moleculecan you tell me the impact of this?
Italy unaiacha wapi?Ufaransa, UK, Germany, na the Netherlands, ndio nchi zenye uchumi mkubwa ndani ya EU, hii inaleta hali ya mashaka mbeleni.
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?Kihere here cha Ujerumani & Italy kuwapokea wakimbizi & wahamiaji, then kutaka kuwagawia wengine kinaua umoja huu.
Wazungu wanaogopa sana issue za Ugaidi.
Next?!!
acha kupotoshahizi ndo dalili za mwisho wa dunia
Linapokuja suala la Russia, NATO huwa inakosa kabisa support ya Mjerumani, German huwa anaona ni kituko cha kufikirika kabisa na cha Karne ku-side na Turkey au na nchi nyingine kama Georgia, Ukraine na nyinginezo over Russia. German anaiona NATO kama chombo kisicho na mwelekeo kilichoundwa kujanja janja na wamarekani kwa kuwa manipulate wanachama ili tu Marekani atimize Malengo yake dhidi ya Urusi. German inaona kama vile Ulaya inaendeshwa na Marekani kupitia NATO.watapigana tu,we subiri utaona,kumbuka huo umoja ndo ulikuwa unawafanya wajione wao ni ndugu.
Kwa upande wa NATO si ulisikia waziri mkuu wa ujerumani akiwalaumu kwa kuwa na sera za uhasama dhidi ya russia majuzi,
huko nako ujerumani anaweza kuamua kujitoa
German na Turkey kubaki pamoja? Nadhani kuna kitu haujakiona sawa hapo!!Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.
Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.
Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
Imeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania
Waingereza nafikiri wameona mbali sana impact ya refuge inaonekana baadae baada ya awa wakimbizi kupewa uraia au kujichanganya kwenye hayo mataifa utamaduni wao utabadilika na may be wanaogopa vurugu zao. Mfano tukio la hivi majuzi wakimbizi kuchoma kambi yao huko ujerumani kwa kuchelewa kuamshwa kama mimi lilinipa tafsiri nyingi je kwa jamii ya ulaya watakuwa wamelichukuliaje?.can you tell me the impact of this?
Angel anataka kuipoteza tu Germany,bora tu aachie ngazi,maana kwa sasa maamuzi yake yanawachukiza wajerumaniNinachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.
Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.
Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
Na ndiyo maana wamejitowa, maana wameona migrants wamezidi,sababu kubwa ya kujitoa ni chuki zao kwa wahamiaji.maana sasa wataweza kukontrol boader zao bila shinikizo la EUKama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?