hata Urusi aliwai pitia hali hiyo na beberu ndo lilikuwa linatoa msaadaVita ni vita ila Ukraine wanapitia vita ngumu sana. Kuliko hata pale gaza. Isingekuwa ni misaada siujui saizi Ukraine ingekuwa kwenye hali gani. Ila tunashukuru dunia imeendelea kusimama na Ukraine.
Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana.
Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha vifaa vya kijeshi katika ardhi ya Ukraine. Reuters inaripoti.
Uzalishaji wa silaha za kijeshi unapaswa kufanyika katika ardhi ya Ukraine, kwa kuwa hii itasaidia kupeleka idadi inayofaa ya makampuni ya biashara na kuvutia idadi kubwa ya watalaam.
Ndugu pamoja na kuwa sizijui sana siasa za Ufaransa lakini naamini kabisa wanajua wanalolifanya ktk hilo maana hawa jamaa hawapangi mpango wa muda mfupi hata muda wake ukiisha madarakani lakini mwendelezo unakuwepo maofisini mwao. Kwahiyo inakuwa ni Vision ya nchi sio ya anaetawala muda huo.Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
Na NATO walikuwa wazi kabisa kwamba nia yao ni kuiangusha Russia kiuchumi, kwahiyo Russia aandae pesa tu ya vita.Rusia alichukulia poa kuwa angeweza kuishinda Ukraine kirahisi mbele ya NATO, kuishinda Ukraine maana yake USA na NATO zilikuwa zinaenda kupoteza umaarufu na nguvu, kitu hiki kingesababisha nchi nyingi zijiunge na Rusia kwa kutafuta usalama, hapo vita itaendelea mpaka miaka 10 ili Rusia ianguke kiuchumi.
Kwanini halipui saivi ule mji wa Kyiv? shughuli zinaenda kama kawaidaHivyo viwanda vitalipuliwa tu!
Wakati huo Russia kalaa!!Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana.
Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha vifaa vya kijeshi katika ardhi ya Ukraine. Reuters inaripoti.
Uzalishaji wa silaha za kijeshi unapaswa kufanyika katika ardhi ya Ukraine, kwa kuwa hii itasaidia kupeleka idadi inayofaa ya makampuni ya biashara na kuvutia idadi kubwa ya watalaam.
Ndugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.Rusia alichukulia poa kuwa angeweza kuishinda Ukraine kirahisi mbele ya NATO, kuishinda Ukraine maana yake USA na NATO zilikuwa zinaenda kupoteza umaarufu na nguvu, kitu hiki kingesababisha nchi nyingi zijiunge na Rusia kwa kutafuta usalama, hapo vita itaendelea mpaka miaka 10 ili Rusia ianguke kiuchumi.
Ni raha sana kummaliza adui taratibu kuliko kumfyeka fasta,,,mara ya kwanza alitaka hivyo ila baadae akaona akienda taratibu anaua ndege wengi kwa jiwe 1, kuanzia uchumi,kijamii na hadi mengine hapohapo anakuza influence ya BRICS , Putin akili kubwaKwanini halipui saivi ule mji wa Kyiv? shughuli zinaenda kama kawaida
alitulia na aliona kila siku anapoteza , bora astuke mapema kuliko kuendelea kulalaHuyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
huez hata endesha bandar upo busy kuzungumzia Ukraine , shenz kbsNdugu yangu najua hupendi kuukubali ukweli kwamba hii vita tayari Ukraine Kwa msaada wa NATO wameshapoteza.
Wakuu wa nchi za west na majenero wa majeshi ya west tayari wanalijua hilo.
Kama ni uchumi nadhani huna taarifa kua uchumi wao tayari umeshayumba sana.
Ukiona wanataka kuingiza majeshi Yao,ujue Ile misaada waliyokua wakitoa mwanzo haijaleta matokeo chanya,ndio maana wanataka wakajaribu kuingia west wote mazima.
Pokea ukweli huo mchungu..
Huyu mwamba ni kiazi sana..Putin kamuonesha kuwa anaweza kumunyang'anya ugali mdomoni na asifanye kitu chochote.Huyu Macron hajakomaa kifikra! Angetulia kwanza hasira zimuishe baada ya kuipoteza africa magharibi! No more free lunches from there! Kujipeleka UKRAINE nikulitia hasara zaidi taifa lake maana atapoteza tu! Hiyo plan alipoitangaza tu na uhakika RUSSIA wako kazini kuitengenezea chanjo yake!
Unamtilia putini maneno mdomoni, kwisha jamaa yako alisema atamaliza kazi within 72hrs sasa mwaka 3 unaingiaNi raha sana kummaliza adui taratibu kuliko kumfyeka fasta,,,mara ya kwanza alitaka hivyo ila baadae akaona akienda taratibu anaua ndege wengi kwa jiwe 1, kuanzia uchumi,kijamii na hadi mengine hapohapo anakuza influence ya BRICS , Putin akili kubwa
Na wa 5 utaingia ,nikuulize hadi sasa nani anaumia na hivyo vikwazo? Na tokea vita ianze uchumi wa nani umepanda na wa nani umeshuka? Putin akili kubwa ma LGBT kazi imekua ngumuUnamtilia putini maneno mdomoni, kwisha jamaa yako alisema atamaliza kazi within 72hrs sasa mwaka 3 unaingia
ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwann Urusi miaka yote hakujihusisha na Africa ila sasa hv anakimbilia Afrika , hali ngumu anatafuta pa kupumulia hadi kuuza bidhaa zake kwa nusu bei unafikir mchezo , UKIWA NA AKILI NDOGO HUEZ ELEWANa wa 5 utaingia ,nikuulize hadi sasa nani anaumia na hivyo vikwazo? Na tokea vita ianze uchumi wa nani umepanda na wa nani umeshuka? Putin akili kubwa ma LGBT kazi imekua ngumu