Ufanye biashara gani katika mkoa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufanye biashara gani katika mkoa gani?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by GAZETI, May 14, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  habarini wana JF, nimeamua kuanzisha hii thread maalum ili tuweze kupeana INFORMATION za mikoa mbali mbali kwani wana JF wanatoka mikoa tofauti. Mfano nataka kujua aina gani za biashara ni nzuri katika mkoa wa Dodoma. Unaweza kutueleza kuwa biashara ya Majaketi ni nzuri zaidi katika mkoa wa Dodoma (Kwa wauza nguo) Mtwara unaweza kufanya biashara ya samaki hasa wale wakavu wanaotoka Mwanza wana soko zuri sana kule lakini ni Katika wilaya zake si pale mkoani.
  Unaweza kutueleza kuwa mahitaji ya chumvi kwa mkoa wa Ruvuma ni makubwa sana sina uhakika kwa sasa lakini nakumbuka miaka ya nyuma Songea chumvi ilikuwa bidhaa yenye soko zuri. Mwaka jana nilikuwa mkoa wa Mtwara biashara ni nzuri kuanzia Mwz 10 mpaka FEB. Pia nilivuka mpaka kwa njia za panya na kwenda msumbiji Dawa za mimea na mifugo zinapatikana kwa bei nafuu sana kule! Mfano MUPAFIDAN(ya kuulia wadudu kwenye mimea) nilinunua kwa sh 3,000 nikaiuza Mtwara kwa sh 12,000 na nasikia bei yake ni kubwa zaidi DAR. Tupeane INF. za mikoani NAWASILISHA.
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Watu wa DAR tupeni ushauri wenu kuhusu biashara za Muhogo na MKaa msikae kimya.
   
 3. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mkuu Dar ni mkoa wa ajabu sana, biashara nzuri hapa ni za uongo na utapeli kama unaziweza. Si kama hizo zingine hazina soko bali hizo ninazokuambia soko lake ni kubwa Mfano. Unaweza kubuni dawa ya uongo ya kutibu jino bila kung'oa, dawa ya kuongeza nanihiiii, pia dawa ya heshima kwenye ndoa. Pia ukiwa mbunifu zaidi unaweza kubuni hata mbinu ya kunywa damu za wanyama (Hatari kweli), binafsi dawa ya kuongeza nguvu za kiume imenitoa sana lakini ilikuwa ya ukweli niliomba kwa mzee wangu kijijini. Kwa sasa nimeacha kama unataka unaweza kuendeleza zinauzika sana hapa Dar.
   
 4. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  gazeti, thread yako nzuri.
   
 5. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  niku pm??????/kwa ajili ya hiyo dawa ya nguvu za kiume
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dodoma apartments, lodges zinalipa.
  Biashara ya matunda pia.
   
 7. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mkuu ile dawa nimemaliza wateja wangu wakubwa walikuwa wahindi kila siku wanaiulizia ingawa na wengine wapo lakini wahindi ni kiboko.
   
 8. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Gazeti inaonyesha ni Dodoma, Mtwara na Dar tu ndo kuna biashara. Hiyo mikoa mingine labda kilimo tu. Au wana JF si wataalamu wa mambo unayotaka kujua. Labda ufanye ziara kwenye maeneo hayo we huoni hata mahindi, matunda n.k yote yanapatikana hapa DAR wakati hakuna kilimo hicho hapa.
   
 9. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  mimi akili yangu ya kawaida inanishawishi kwamba katika ile mikoa yenye mazingira ya kilimo hasa maeneo ya vijijini,vifaa vya kilimo na materials kama mbolea,madawa ya kuua wadudu na mbegu. Lakini pia hali ya hewa kama ya baridi katika mikoa fulani inaifanya biashara ya makoti,masweta,mablanketi na majaketi pia kipindi cha mvua,katika mikoa ya joto kama dar bila shaka nguo nyepesi zinauzika zaidi,vifaa vya ujenzi ni biashara inayofana karibia kila mkoa hasa unaoendelea kukua.hebu wengine endeleeni kutoa mawazo,mm ngoja niishie hapo.
   
 10. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2013
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu biashara zote za dar ni kuzuga tu biashara ni dawa za kulevya na misheni town tu
   
 11. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2013
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu biashara zote za dar ni kuzuga tu biashara ni dawa za kulevya na misheni town tu
   
 12. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2013
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  tatizo kubwa la watu tunafanya vitu kimazoea au kwa kukariri.....inakubidi ufanye kaji-tafiti katika biashara unayotaka kufanya kujua walengwa ni kina nani na kuchanganua kadirio la market share.

  Mfano Dar unanafasi ya kufanikiwa katika biashara nyingi kutokana na purchase power kuwa kubwa na population pia ni kubwa lakini pia kuna ushindani mkubwa...kwa hivyo cha msingi ni kujaribu kuona kipi chafaa....
   
Loading...