Mosenya nilikua nampenda zaidi kuliko nyemo sasa hiv nyemo ndio nampenda zaidi mosenya niliacha kufatilia hadithibzake mda sanasasa hao hakuna hadithi yao iliyonipita 2011-13 ....huyo Mosenya anahadithi yake inaitwa Nadya aisee roho inaniuma mpk leo sijaimalizia ile hadithi aliishia kati
haya unihadithie hivyo, kwanza inahusu nini?Mosenya nilikua nampenda zaidi kuliko nyemo sasa hiv nyemo ndio nampenda zaidi mosenya niliacha kufatilia hadithibzake mda sana
umepanic brazaIla babe nianze tena kukusamaraizia??? Mekwambia kesho tafanya vile
hahahahha sina nia hiyo.hahaaaa nia yako nini "" ? tusinywe hata chai " tusitembelee majukwaa mengine sindio ""?
aisee " umetisha sana " kuanzia part 1 mpaka 20s huko "" yaaani ni bumper to bumper ...Mmmh ngoja niamke nikaswaki kwanza"", otherwise naweza jikuta napiga mswaki saa. saba