Ufahamu mgogoro wa BREXIT

mkuuwatu kama hao ni wakuwapuuza...walahawana mantiki yoyote...sisi tuendelee kujuzana kisha mwambie alishawahi kuiona wapi hii makala....mpuuzi tu huyo
 
pia umemsahau marekani alijaribu kumpa jeuri uk ila marekani hakutegemea kama jeuri hiyo itamfanya ajisikie kuachana na EU
 
Analogy yako nzuri kweli kweli; asante sana kwa kulifafanua jambo hili kwa lugha rahisi sana.
 
yeye ni kiongozi wa waingereza anaongoza mawazo yawaingereza
Hayakuwa mawazo ya Waingereza yalikuwa ni mawazo yake binafsi so alihitajika kuwa convisi Waingereza wote (bungeni) na hapo ndipo mtiti ulipoanza
 
Mkuu umeeleza vzr sana ila hujagusia zile tarehe anazopewa UK awe amajitoa EU, nakumbuka deadline ilikuwa mwezi wa nne mara wakawaongezea siku 10 na saizi tena wamewaongezea muda hadi October, hili unalizungumziaje?
 
Umefanya vyema sana mkuu kuileta huku sema siku nyingine uwe unaandika kwamba umecopy na kupaste mkuu, sio lazima ionekane kwamba wewe ndio mwandishi wakati sio kweli... Haitakupunguzia credit.
Hizi roho za kwanini mbaya sana. Basi wewe ilete hiyo aliyocopy au vipi itafsiri hii kwa kingereza utuwekee hapa. Hovyo kabisa
 
Mana kwa ishu ya kujiuzuru waziri mkuu theresa may,imetajwa sana brexit,ila nilikuwa mweupe sielewi kitu. Sasa nimeelewa kitu.SHUKRANI!!!
 
Mtoa mada ni jembe sana. Mie niliisoma sana issue ya BREXIT na kuielewa mno ila nilikuwa nikijaribu kuwaelezea watu majority walikuwa hawaelewi. Umeielezea vizuri mnooooo kwa mfano wa ndoa
 
Hayakuwa mawazo ya Waingereza yalikuwa ni mawazo yake binafsi so alihitajika kuwa convisi Waingereza wote (bungeni) na hapo ndipo mtiti ulipoanza
Sio kweli mkuu. Brexit iliamuliwa katika Kyra ya maoni, ambapo waingeraza walio wengi waliamuoa kujiondoa katika umoja wa ulaya.

Huyu waziri mkuu anayeondoka alikuwa upande wa wanaotaka Uingereza ibaki EU.
Lakini baada ya Cameron kujiuzulu kwa kushindwa kura ya BREXIT ndo akaingia May.
Amabaye alikuwa na slogan yake ya BREXIT mean BREXIT. Akimaanisha hakuna kurudi nyuma. Waingereza walushaamua kujitoa kwa hiyo ikawa ni jukumu lake kuhakukisha hilo linatimia
Ingawa hakufanikiwa katika hilo. Kwahiyo sio kweli kuwa yalikuwa ni mawazo yake kutoka BREXIT
 
uko sahihi hata ukirejea katika speech yake ya juzi alisema anatekeleza kile waingereza wanakitaka
 
Shukran mkuu, nilkua naelewa nusu nusu ila sasa nimeelewa zaidi.
Chukua pepsi mbili apo ntalipa.
 
Laah sasa nimeelewa japo kidogo nilikuwa nasikiasikia neno brexit kumbe ndio hivyo thanks mchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…