Ufahamu mgogoro wa BREXIT

Nzuri sana.ufanye na muendelezo basi na updates mbalimbali kama zitatokea
 
Umefanya vyema sana mkuu kuileta huku sema siku nyingine uwe unaandika kwamba umecopy na kupaste mkuu, sio lazima ionekane kwamba wewe ndio mwandishi wakati sio kweli... Haitakupunguzia credit.
 
Asante sana nimeilewa vizur. Vp sasa inaendeleaje maana kama naskia baadhi ya viongozi kujiudhuru na wengine kutokuunga mkono hizi juhudi.

Na je huyu Waziri Mkuu aliyepo ndo aliyeongoza hizi vuguvugu za BREXIT?
 
yeye ni kiongozi wa waingereza anaongoza mawazo yawaingereza
 
Aisee lei ndio umenifunza juu ya BREXIT
 
Nimepata kitu kilichokuwa kinanitatiza,asante sana mkuu
 
Good....
 
Umesomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…