The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
- Thread starter
- #21
Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35Vipi kuhusu Markpass za ufaulu QT, Wastani ilikua ngapi?
Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35Vipi kuhusu Markpass za ufaulu QT, Wastani ilikua ngapi?
Hapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35?Necta hawasemi ukifaulu utaambiwa tu "pass" na ukifeli ni "failed" japo tetesi kwa QT wastani ni 35
Paper la QT huwa ni masomo matano ambayo siku ya paper yote yanakuwa kwenye karatasi moja hivyo wastani wako uwe 35 kwa masomo yote sio Somo moja mojaHapo wastani 35 ndio sijaelewa vizuri, yaani kwamba kila somo upate 35, ama masomo yote tano jumla upate hiyo 35?