Ufahamu juu ya Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania.

Mukundumbusya

Senior Member
Aug 11, 2016
168
142
Poleni na majukumu ndugu watz wenzangu.
Kama kichwa kinavyojitanabaisha. Katika pitapita mtandaoni nikaona ukurasa wa watajwa hapo juu na nikapata na mawasiliano yao. Baada ya kumpigia kwa bahati nzuri nimeambiwa watakuwa wanafanya semina Tukuyu, Mbeya tarehe 14-17. Katika maelezo yake amesema nishawishi watu ili tuende tukiwa kikundi katika hiyo semina na alisema kila mmoja wetu aje na tshs 20,000/- kwa ajili ya kiingilio.
Msaada niutakao toka kwako: ni uzoefu wako katika huu mtandao ka ni mshiriki au uwajuavyo na kazi zao.
Ahsante!
 
Back
Top Bottom