NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 649
- 557
Nakuhakikishia kwa miezi hiyo 6 ni ngumu naeleza kile nichokifahamu. Tunajua miradi ipo na inaendelea lakini si kwa muda unaousema.Serikali imedhamiria na ndio maana imeendelea kuwekeza pesa za kutosha kuhakikisha kuwa mradi unamalizika na kuliangazia Mwanga Taifa letu.