Ufafanuzi wa take-home wakati wa probation period

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,415
2,141
Naomba wakuu mnisaidie.

Je, wakati wa kipindi cha matazamio makato gani huwepo? E.g Bodi, tax, NHIF, NSSF?
 
Mkuu, mara tu upatapo Ajira basi makato huanza kuanzia hapo. Paye, NSSF kwako huku muajiri nae akichangia vitu kama SDL, WCF etc
 
Naomba wakuu mnisaidie,je wakati wa kipindi cha matazamio makato gani huwepo? E.g bodi,tax,nhif,nssf?
NHIF, NSSF na TAX ni lazima, yanaanza immediately,

Lakini HESLB mnaweza ku negotiate na muajiri then ataandikia barua bodi nao watakupa muda kadhaa mara nyingi miezi mitatu then wanaanza kukata chao
 
NHIF, NSSF na TAX ni lazima, yanaanza immediately,

Lakini HESLB mnaweza ku negotiate na muajiri then ataandikia barua bodi nao watakupa muda kadhaa mara nyingi miezi mitatu then wanaanza kukata chao

Hata kama upo kwenye probation period?
 
Mkuu, mara tu upatapo Ajira basi makato huanza kuanzia hapo. Paye, NSSF kwako huku muajiri nae akichangia vitu kama SDL, WCF etc

Hata kama ni kwwnye probation period
 
Makato yanakuwepo hata kama ni probation si ushasaini mkataba , lazima ukatwe NSSF, PAYE
, take home inategemea na mshahara unaolipwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom