Nyanda_Athumani
New Member
- Jun 27, 2012
- 3
- 0
Naomba ufafanuzi wa kisheria! Sheria inasemaje iwapo mali imewekewa zuio na mahakama na mmiliki kulipangisha, kuikodisha au kuiuza mali hiyo na hatimaye kutoroka, je, mahakama inaweza kutoa amri ya kunyang'anywa mali hiyo mtu aliyemilikishwa baada ya zuio la mahakama?
Pili; mtu ameingia makubaliano ya maandishi mbele ya mahakama ya mwanzo kulipa fedha kulikotokana na kupotea kwa mali/mizingo iliyohifadhiwa katika ofisi ya mtu x katika makubaliano hayo ameweka commitment bond mali zake kwa maandishi kwa hiari ya kwamba ikifika tarehe ... sijamaliza kulipa deni hilo mali nilizoweka ziwe mali ya mdai, na muda uliowekwa umepita sheria inasemaje hapo?
Nitashukuru kwa majibu yenu yaiyotukuka.