Ufafanuzi:Upendo wa Mungu

Ufafanuzi:Upendo wa Mungu

sao

Senior Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
165
Reaction score
195
Naombeni Msaada wa kueleweshwa kuhusu Upendo wa Mungu!

Hivi Mungu anatupenda wakati gani?

Je anatupenda wakati tupo hai au ukishakufa?

Maana nimekua nikihudhuria mazishi na kumsikia mchungaji/padre anamzungumzia ”marehemu”

sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi!
Je Mungu anakupenda hadi ukiwa umekufa?

Vipi pale mtu anaposema dah! aisee Namshukuru sana Mungu nimepona(sijafa) katika hii ajali!

Je hapa Mungu anakua hajakupenda bado kwa sababau hujafa au?

Naombeni ufafanuzi.
 
Mungu anampenda binadamu tokea anapomuumba, maana Mungu anamuumba mtu ili amshirikishe maisha yake ya heri na baraka. Kwa hiyo Binadamu akiwa amekufa au yu hai, Mungu bado anampenda.
 
Back
Top Bottom