Ni halisi kabisa,sema hizo Ni za mamangi wa zamani wamerithishana kabla Sheria za kuzuia uwindaji wa hao leopards kuundwa
Pengine labda Kuna namna wanazitunza zisiharibike au Kuna utaratibu wanaofuata kwenye mamlaka husika kupewa vibali vya kuwinda kwa masharti wanayowajua wao!Kama ni za zamani si zingekuwa zimepoteza ubora mkuu na kunyonyoka manyoya...maana ngozi aliyoivaa Mangi miaka ya 50 huko sidhani kama muonekano wake ungekuwa kama zilivyokuwa leo hii!
Mfano vazi walilomvisha Hangaya, je ile ni ngozi ya chui iliyochunwa miaka ya 50 au 60 huko?
Kwani chui ni immortal kuwa hawafi na ngozi zao kupatikana? Sasa kama tamasha limeandaliwa na wizara ya serikali u adhani wanakosa pa kupata ngozi ya chui?
Kwanini hujashangaa "wachaga" wametoa zawadi ya ngamia ilihali sio moja ya wanyama wanaowafuga. Na hata kihistoria hawajawahi kuwafuga?
Chui wanauzwa, wenda wamenunuaKama ni za zamani si zingekuwa zimepoteza ubora mkuu na kunyonyoka manyoya...maana ngozi aliyoivaa Mangi miaka ya 50 huko sidhani kama muonekano wake ungekuwa kama zilivyokuwa leo hii!
Mfano vazi walilomvisha Hangaya, je ile ni ngozi ya chui iliyochunwa miaka ya 50 au 60 huko?