Ufafanuzi please!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Hivi hii imekaaje? Kesi inapelekwa mahakami halafu hakimu anasema "hautakiwi kujibu chochote kwa sababu mahakama hii haina uwezo kisheria kusikiliza utetezi wake" swali kama mahakama inajua haina uwezo kisheria kusikiliza kesi za aina hio,iweje dpp apeleke huko? Kwanin isiende next level moja kwa moja?

Wanasheria ufafanuzi.
 
Hahahaaa hata mimi nilijiuliza hilo.

To me it doesn't make any sense at all and it's just another judicial bureaucratic red tape that can be done away with.

But since they are the "learned" ones maybe they'll come and shed some light on it.
 
Duh, hapa imebidi nicheke sana kwa comments za hapo juu, sina muda wa kutosha wa kufafanua lakini mwenye HAJA KUBWA ani pm, pana legal technicalities tu hapo (Jurisdiction) hiyo ni court of first incidence,( in the locality where the cause of action arose).....................then to where the court has jurisdictional power...HC in this case owing to the nature of the offence alleged to have been committed.

Wanasheria watusaidie mm ni kilaza mkubwa (mnisamehe kwa kucheka)
 
Hujajibu swali na ni swali la msingi sana.
 
Back
Top Bottom