Sioni sababu ya kuipigia kelele hii ishu ndogo.
Tanganyika ina ardhi km za mraba zaidi ya laki tisa na hatujazifanyia lolote la maana tunateswa na kakipande kidogo tena wamepewa watu tulioungana.
Kama Nyerere kuwapa ilikuwa ni ishu ya kisiasa je hujui hata Muungano kiuhalisia ni suala la kisiasa?
Siasa ndio kila kitu, siasa ni uchumi na siasa ni maisha.
Note: siasa huamua kila kitu duniani....fikiri kidogo tu