Ufadhili wa kimasomo nje ya nchi

Ufadhili wa kimasomo nje ya nchi

thejosec

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2010
Posts
345
Reaction score
24
Tunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.

Scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs).

Kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 0711 684900, +86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
 
Tunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.

Scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs).

Kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 07111 684900, +86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
I need this
 
Kuna story nilisikia eti Mwananyamala ukitaka tiketi ya ndege kwenda sehemu yoyote duniani hata kwa elfu 50 unapata.

Sio nyie ndio dealers?
 
Naombo kuuliza mkuu tulio maliza form six na kukosa mkopo tupo nyumbani tunaruhusiwa hapo...
 
Back
Top Bottom