Ufadhili wa kimasomo nje ya nchi

Ufadhili wa kimasomo nje ya nchi

Kuna story nilisikia eti Mwananyamala ukitaka tiketi ya ndege kwenda sehemu yoyote duniani hata kwa elfu 50 unapata.

Sio nyie ndio dealers?
hapana, sio sisi. sisi tunahusika tu na maswala ya masomo.
 
Mna zingua dolla 500 kupata chuo china? wakati ni bure...!
 
mtu aki gharamika sana haizidi laki moja... na form yenu sija ielewa kabisa... mkataba una onesha mna wasomesha na kuwadai.... hapa kuna janja janja.... china kama nchi wana toa scholarship na hawa kudai hata sh. wala dolla au yen...
 
Hebu tulia andika kwa utulivu ueleweke, wanasomesha na kuwadai kivipi ikibidi piga picha huo mkataba uweke hapa tuone jinsi mkataba unavyosema
 
1.PNG
2.PNG
3.PNG
4.PNG
5.PNG
6.PNG
7.PNG
8.PNG
9.PNG
10.PNG
11.PNG
12.PNG
13.PNG
14.PNG
 
Hebu tulia andika kwa utulivu ueleweke, wanasomesha na kuwadai kivipi ikibidi piga picha huo mkataba uweke hapa tuone jinsi mkataba unavyosema
mkuu nimetulia... J3 kuna mambo mengi huwa tuna fanya hivyo tuna kuwa juu juu
 
Back
Top Bottom