ufadhili na tangazo la shule

ufadhili na tangazo la shule

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
Taasisi ya wanataaluma wa kiislam tawi la tanga TAMPRO inatoa ufadhili katika shule yake ya wasichana PONGWE ISLAMIC GIRLS iliyopo tanga kwa watakao faulu mtihani wa usaili kwa kiwango cha A .kwa usaili na maelezo wasiliana na 0712048197,pia kwa wanaopenda kujiunga na shule hiyo kwa hali ya kawaida piga simu namba hiyhiyo..usajili wa shule ni s.4892..tunahifadhisha quran karibu sana
 

Attachments

  • 20150915_175511.jpg
    20150915_175511.jpg
    664.3 KB · Views: 119
  • 20150905_171736.jpg
    20150905_171736.jpg
    551.8 KB · Views: 94
  • 20150905_170526.jpg
    20150905_170526.jpg
    368.2 KB · Views: 90
  • IMG_20150415_105732.jpg
    IMG_20150415_105732.jpg
    587.7 KB · Views: 97
  • Screenshot_2015-10-01-21-32-08.png
    Screenshot_2015-10-01-21-32-08.png
    285.6 KB · Views: 176
Back
Top Bottom