msemakweli-daima
Member
- Jul 15, 2015
- 11
- 0
Pengine katiba zao za chama zinawaruhusu kua viongozi wa kudumu.......
Ikiwa tu atashinda na kuwa rais, nje ya dola hakuna uzoefu?Hakuna Mwenyekiti asiye na ukomo CCM, ukomo wa kila Mwenyekiti unajulikana. Mfano Mh. Kikwete ukomo wake ni 2016, anayefuata ni Magufuli ambaye naye ukomo wake ni 2026.
Chadema wana vijana gani, akina sugu? Tehe tehe.
Hao ni viongozi wa milele,toka mwanzo wa vyama vyao hadi leo hawaachii ngazi ya uenyeviti. Ndo huwa natathmini kuwa hizi ni NGOs na si vyama vya siasa kwani hakuna utofauti ni taasisi ya mama Kijo bisimba alokaa pale toka 1974