East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,812
- 6,036
Zingine usipo toa hand brake gari haiondoki, ma kama ikiondoka inakupigia kelele hapo hapo.. na disco light kama kawaUkisahau kudisengange hand brake ina maana husikii gari linavyokua zito?
Zingine usipo toa hand brake gari haiondoki, ma kama ikiondoka inakupigia kelele hapo hapo.. na disco light kama kawaUkisahau kudisengange hand brake ina maana husikii gari linavyokua zito?
Ni kweli maana mi mwenyewe natumia huo mguuNilichogundua watu wengi ambao wanatumia miguu miwili kwenye gari za auto ni wale ambao mguu wa kushoto una nguvu kuliko mguu wa kulia
Ni kweli maana mi mwenyewe natumia huo mguu
Hata mimi pia. Na wanaosema kuwa kuendesha kwa miguu miwili ni hatari mi napingana nao. Nimeshajaribu kuendeshea mguu mmoja nilishindwa kufanya maamuzi kwa wakati nikajikita nashika breki kaka lena vile
Unaendeshaje stick shift? Maana hapo sasa ndio mvurugano utakapotokea kwa mazoea yako hayoNi kweli maana mi mwenyewe natumia huo mguu
Unaendeshaje stick shift? Maana hapo sasa ndio mvurugano utakapotokea kwa mazoea yako hayo
Sawa lakini nilitaka utupe experience yako huwa huchanganyi mafile? Sisi wengine tuna reserve mguu wa kushoto kwa ajili ya clutch tu kuwa hiyo kuendesha manual inakuwa rahisi.Mimi naendesha both(manual+auto) kwa kutumia miguu 2 miaka zaidi ya miaka 15 sasa.
Sawa lakini nilitaka utupe experience yako huwa huchanganyi mafile? Sisi wengine tuna reserve mguu wa kushoto kwa ajili ya clutch tu kuwa hiyo kuendesha manual inakuwa rahisi.
Sasa wewe wa kukanyaga break kwa mguu wa kushoto huwa inakuwaje kwenye stick shift? Hujichanganyi?
Mara kwanza ilinisumbua sana lkn nilikuja kuzoeqUnaendeshaje stick shift? Maana hapo sasa ndio mvurugano utakapotokea kwa mazoea yako hayo
Hand break hio ni mbovuAlfu nataka kuuliza, utanipa jibu kama unalo jibu, Hivi kuna madhara gani kutoa hand brake wakati gari ikiwa motion..! Ambayo kulingana na maelezo ya mwalimu wangu wa kuendesha vyombo vya moto alinambia napaswa kuiondoa handbrake kabla ya kuanza mwendo.
Sasa kuna muda najikuta nimesahau kuitoa ile nakumbuka nakuta tayari nipo kwenye speed labda ya 20km/h... Je nikiitoa handbrake huku naendelea na Safari nini madhara?
Mi naendesha mguu mmoja tena nikivaa sandroz ndo natumia kidole kikubwa cha mguu wa kulia.
Nimeshazoea kiasi kwamba nikikanyaga pedal na mguu wote naona napoteza muda.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Huelewek na Nina wasiwasi hata Kama Hilo Gari unaloNiliwah leta hii mada mm nina marafiki wengi Na kila anaetaka kuendesha gar langu anaeendesha kwa kadri alivoelekezwa.
Je uendeshaji wa gar Miguu miwili ni nini atahar au faida tofauti na mguu mmoja katika zile pedal mbili za automatic yaan less na brake.
Msaad nielewe tena vizuri.
Based on my experience,huyu jamaa ndo yupo kwenye stage ya kujifunza gari believe meHuelewek na Nina wasiwasi hata Kama Hilo Gari unalo