Uelewa wa mambo kwa watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka

Kuna ukweli hapa, no doubt. Ila mleta hoja upunguze makasiriko kidogo. Unfortunately, kila mtu ana right to stupidity.
 
Sasa jombaaa kma hizo elimu za Udom&Udsm hazna viwango vya kuzalisha wanasheria wa kusimamia miradi ya nchi, sasa kuna umuhimu gan wa kuita hizi tahasisi ni vyuo vikuuu? Si bora vifungwe?

Alafu izo sheria za kimataifa sio sheria za Mungu kusema kwamba waliotunga ndio hao hao wanahaki za kutoa wasimamizi wa sheria na makubaliano baina yao na sisi , pia haina maana kama izo sheria ni lazima wahusike watu wa nje wakati hii nchi kuna wasomi weengi tena wenye elimu nje ya Afrika.

Kwann baadhi ya watz hamjikubali?

Nawew utaingia ktk lile kundi la watz wapumbavu na wajinga, maana unampa adui nguvu na mamlaka ktk ardh yako, pia hukiamini kile unachokisoma ktk ardhi yako,

Pia Kama umesema tusitazame upande mmoja wa shilingi ktk bandari hiyo ya bagamoyo ambyo wapingaji wengi wa ujenzi, upinzan wao ni mzuri maana wanatetea nchi, je huoni kuwa huo ndio upande sahihi?
Hata kama mikataba haijawekwa wazi,lkn yasemwayo yapo lzma tusimame kwenye haki daima.

Msipende kuwahukumu waTz wote kwenye upuuzi, kuwa ni wajinga, ujinga nowadays ulishaisha kama sio kupungua.
Kuna law practice,unapomaliza chuo.Sawa umesoma kweli ,na umehitimu vizuri lakini hukupata kufanya kazi zenye changamoto ya shughuli hizo.Sasa kweli utaenda kutusimamia kwenye 30 billion dollar project ?Ukali wa sauti sio ukali wa kujua sheria.
 
Yanayoendelea kwa vijana wetu Wasomi na ambao sio Wasomi huwezi kutofautisha kitu Katika kundi hili. Hoja za matusi na kutukana ndio njia pekee ya hawa vijana, Wanaamini upande mmoja wa habari

Yawezekana ni makosa yetu wazazi kuwajaza watu ujinga na wao kuyaamini kama yalivyo bila kufikiria au kujiridhisha

Mambo yafuatayo yameonyesha aina ya watu na vijana tulionao hapa JF :

Mosi, Hoja za kuendeleza gesi na maamuzi ya kutafuta wanasheria wa nje kwa ushauri, Vijana wamejazwa upepo kuwa wao wanaweza kazi hii ya sheria za kimataifa kwa kusoma soma sheria za International law pale Udsm na Udom, Wamekaa wanakula popcorn hawaelewi kuwa serikali inalipa madeni mengi kwa kudharau sheria za kimataifa, Ushauri wa kipuuzi wa wanasheria wa ndani kuwa tunaweza serikali imeishia kulipa hasara na medeni

Pili, Hoja za Bandari ya Bagamoyo, Wengi wamejazwa upepo bandari haifai,Wachina wanatupiga. Ukiwauliza wewe unafahamu mkataba wake anajibu nilimsikia Rais na Waziri. Leo hii mtu anaweza sema tutaajiri vijana 100,000 serikalini na vijana wanapiga makofi, Ukiuliza ajira zitatoka wapi kwa pesa ipi hakuna majibu, Mtu haelewi hata maana ya kina cha bandari bali utasikia aaha kule Bagamoyo si kwa Mzee JK ndio maana wanajenga bandari, Ukimuuliza sasa ulitaka JK azaliwe Dodoma

Tatu, Hoja za Freeman Mbowe na kesi inayoendelea huko mahakamani, Utasikia Leo shahidi amegalagazwa vibaya sana, Tangu lini shahidi akagalagazwa? Shahidi anaeleza alichokiona Yeye na kukishuhudia, Maswali anayoulizwa nje ya yale aliyoyasema na kuyaandika hayamuhusu,Jaji anajenga msingi kwa alichokisema shahidi, Maswali ya kuwa una degree ngapi? Una wake wangapi? Unamfahamu Tundu Lisu? Uliona watu wakibeba petrol na magogo?. Haya yote inategemea kama shahidi aliyasema kama hakuyasema ni kupoteza muda kumuuliza, Maswali nje ya context ya alichokisema na kukiandika shahidi ndio vijana wanashabikia huku wakiwa na Tecno na itel za wachina wasiowataka kujenga bandari ya Bagamoyo

Hoja ya Ridhwani Kikwete kuwa naibu Waziri, Utasikia aaha yule Ridhwani hafai kabisa, Ukiuliza lini Ridhwani amewahi kuwa Waziri na akakosea hakuna Jibu lolote, Lipi baya alilofanya Ridhwani utasikia aahaa nchi sasa imerudishwa kwa wapigaji, amepiga pesa gani hakuna majibu, Kumbe wanaumia kwanini mtoto wa fulani kawa Waziri, Kwanini uumie mtoto wa Mo Dewji kuwa tajiri kama Baba yake ulitaka avae kandambili zilizoshonwa shonwa

Hoja za Spika Ndugai kujiudhuru na chama chake cha ccm, Utasikia Spika ameonewa na Rais ana nguvu zaidi. Je unafahamu taratibu za ndani za ccm kanuni na maadili ambayo chama kilimpendekeza Ndugai kuwa Spika, Utasikia sifahamu, Ndani ya ccm mtu anawajibika kwa chama chake kwanza halafu ndio anawajibika kwenye nafasi yako uliyopewa, Hata Rais Samia anawajibika kwenye chama kwanza halafu kama Rais, Chama ndio kimekupa nguvu na sio cheo, Ndugai alivunja maadili na kanuni za chama kilichompendekeza awe Spika kwa kushindwa kujizuia kutofautisha nafasi akiwa Bungeni na nje ya Bunge

Vijana ambao wanategemea akili za watu wengine wawafikirie kwa niaba yao, Hao ni vijana mfu
Kwa hiyo wewe ndo unaakili sana? Huyo Riziwani na babayake ni mafisadi na wapuuzi miaka yote! Vijana kama wewe unaezuia watu kuwa na mawazo mbadala!
 
Angalia salio nimekutumia 7000 yako,kesho tukutane lumumba ,sawa mama
 
Hata hueleweki, kazi kulaumu tuu na kuona wanaoongea usichotaka hawana akili, lakini inajulikana watu wajinga mara nyingi wanafikiri wanajua kumbe kichwa ni kopo tuu, na wenye akili wanapenda kusikiliza na wanaongea pale inapobidi bila kulaumu au kukejeri wengine
 
Sasa jombaaa kma hizo elimu za Udom&Udsm hazna viwango vya kuzalisha wanasheria wa kusimamia miradi ya nchi, sasa kuna umuhimu gan wa kuita hizi tahasisi ni vyuo vikuuu? Si bora vifungwe?

Alafu izo sheria za kimataifa sio sheria za Mungu kusema kwamba waliotunga ndio hao hao wanahaki za kutoa wasimamizi wa sheria na makubaliano baina yao na sisi , pia haina maana kama izo sheria ni lazima wahusike watu wa nje wakati hii nchi kuna wasomi weengi tena wenye elimu nje ya Afrika.

Kwann baadhi ya watz hamjikubali?

Nawew utaingia ktk lile kundi la watz wapumbavu na wajinga, maana unampa adui nguvu na mamlaka ktk ardh yako, pia hukiamini kile unachokisoma ktk ardhi yako,

Pia Kama umesema tusitazame upande mmoja wa shilingi ktk bandari hiyo ya bagamoyo ambyo wapingaji wengi wa ujenzi, upinzan wao ni mzuri maana wanatetea nchi, je huoni kuwa huo ndio upande sahihi?
Hata kama mikataba haijawekwa wazi,lkn yasemwayo yapo lzma tusimame kwenye haki daima.

Msipende kuwahukumu waTz wote kwenye upuuzi, kuwa ni wajinga, ujinga nowadays ulishaisha kama sio kupungua.

Ishu sio kujikubali, una kipi cha kujikubali vyuo vingi vinatoa elimu ya copy paste. Mawakili wa serikali mara ngapi wanaangukia pua.
Kwenye uzoefu nitajie kampuni ya wanasheria Tanzania yenye uzoefu wa maswala ya gesi kimataifa.
Taja moja tu.
Watu wanavyuo vinaexperience za miaka 400 huko unalinganisha na chuo chenye miaka 60?
 
Mkuu inawezekana na wewe ni mmoja wapo wa watu wenye uelewa mdogo sana...umeongea mambo mengi sana tangu lini Tanzania jambo likawa motivated out of political context..kimsingi uamuzi karibia 90% ni politically motivatee hakuna jambo lolote lile linaloweza kua motivated economically ama socially kwa ajili ya maendeleo ndo maana ujinga hauwezi kuisha...
 
GUSSIE
#GUSSIE

Mleta hoja umekuja kutetea ulaji wa wajomba zako na Babu zako bila aibu.

Kama baadhi ya hao vijana wenzio wameendeleza ujinga kama ilivyo kawaida yenu.

Vema uelewe kwamba sio Watanzania wote ni wajinga kwa sasa.

Tunaona na tunaelewa kwamba nchi imerudi kwenye utawala wa mfumo (system).huyo mshika remote ndiye master mind.

Mafisadi huwa moja ya sifa yao kuu ni kukosa aibu pamoja na kuwa na ubinafsi uliopitiliza.

Wewe hakika ni uzao wa wezi na hata kama una elimu,basi umesoma kwa hela za ufisadi.
Na hakika wewe sio kundi la sisi tunaoishi huku site.(uswahilini.)

Topic yako inaonyesha ulivyojaa kiburi na dharau kwa watanzania.
Kwa sababu kule upande wa pili wa shilingi,bidhaa zote muhimu huwa zimerundikana store.

Kwa taarifa yako kuhusu kesi za mikataba,ambazo zimeliingiza taifa hasara kubwa.
Nyingi ya ambazo tulishtakiwa nazo zilitokana na utawala wa awamu ya baba yake Riziwani Kikwete.

Mfano hai ni Richmond,Dowans na Tegeta Escrowna bila kusahau UDART ya Riziwani na Lameck Kisena kwa uchache tu.

Mpaka tunavyoandika hakuna kesi iliyofunguliwa kuhusu madai au ukiukaji wa mikataba.

Ambayo inaihusu awamu ya tano nchini chini ya utawala wake wa miaka mitano ya JPM.

Ingawa yeye alitumia wanasheria wazalendo kwa kumshauri na kuivunja mikataba iliyokuwa ya kifisadi.bila kuwaomba wazungu ushauri.

Pamoja na baadhi ya makampuni hayo kuwatumia baadhi ya wanasheria nchini,mmojawapo akiwa Tundu Lissu a.k.a mzee wa MIGA.
Ili kuitisha serikali isiivunje mikataba ile ukiwemo ule wa ACACIA.

JPM alisimamia alichokiamini na tulisonga mbele kama taifa bila ushauri wa wazungu.na kampuni zao za kifedhuli.

Kuhusu Riziwani kusemwa hafai, wewe unadai hajawahi kuwa waziri hivyo wanaosema wanakosea.

Wewe labda ni mtoto wa juzi na hujui historia ya hapo nyuma kidogo....
Ila sisi tunakumbuka zile
Enzi za utawala wa baba yake yaani JK.
Riziwani alikuwa na nguvu zaidi ya waziri,aliekuwa rafiki yake au yeyote angeweza pewa uwaziri au tender yoyote na saa yoyote.

Tuna kumbukumbu ya baadhi ya malalamiko ya watumishi waliowahi kukumbana na kadhia ya mtoto wa mfalme enzi hizo.

Kuhusu kundi la wezi kurudi kwa kasi serikalini,hiyo sio siri kila mtanzania anaona na mfano mmoja wa wazi ni waziri Makamba hapo Nishati,yeye kila siku ni kupangua safu za utumishi.
Huku akizidi kuingia mikataba yenye utata isiyo na tija kwenye uzalishaji umeme nchini,tena kwa kasi ya kifisadi huku mwenye mamlaka ya uteuzi akiwa kimya.

Kuna huo mkataba wa Bagamoyo EPZ ambao pia ni matokeo ya ule utawala wa Baba Ritz,sasa ameshika remote control,ndio tunaona Chanel ya Bagamoyo ikirudi upya huku ikipigiwa upatu na walewale.

Mambo ni mengi na wananchi wana hasira,halafu wewe mpuuzi mmoja unakuja kuleta dharau humu JF.??

Wewe mleta hoja umetumwa kujaribu ku test upepo.

Ila waliokutuma walikosea mtu wa kutuma.

Wao waliamini umeelimika kumbe ni muumini na mmiliki wa vyeti usiyejitambua.

#Hatutakiwahuni
 
Yanayoendelea kwa vijana wetu Wasomi na ambao sio Wasomi huwezi kutofautisha kitu Katika kundi hili. Hoja za matusi na kutukana ndio njia pekee ya hawa vijana, Wanaamini upande mmoja wa habari

Yawezekana ni makosa yetu wazazi kuwajaza watu ujinga na wao kuyaamini kama yalivyo bila kufikiria au kujiridhisha

Mambo yafuatayo yameonyesha aina ya watu na vijana tulionao hapa JF :

Mosi, Hoja za kuendeleza gesi na maamuzi ya kutafuta wanasheria wa nje kwa ushauri, Vijana wamejazwa upepo kuwa wao wanaweza kazi hii ya sheria za kimataifa kwa kusoma soma sheria za International law pale Udsm na Udom, Wamekaa wanakula popcorn hawaelewi kuwa serikali inalipa madeni mengi kwa kudharau sheria za kimataifa, Ushauri wa kipuuzi wa wanasheria wa ndani kuwa tunaweza serikali imeishia kulipa hasara na medeni

Pili, Hoja za Bandari ya Bagamoyo, Wengi wamejazwa upepo bandari haifai,Wachina wanatupiga. Ukiwauliza wewe unafahamu mkataba wake anajibu nilimsikia Rais na Waziri. Leo hii mtu anaweza sema tutaajiri vijana 100,000 serikalini na vijana wanapiga makofi, Ukiuliza ajira zitatoka wapi kwa pesa ipi hakuna majibu, Mtu haelewi hata maana ya kina cha bandari bali utasikia aaha kule Bagamoyo si kwa Mzee JK ndio maana wanajenga bandari, Ukimuuliza sasa ulitaka JK azaliwe Dodoma

Tatu, Hoja za Freeman Mbowe na kesi inayoendelea huko mahakamani, Utasikia Leo shahidi amegalagazwa vibaya sana, Tangu lini shahidi akagalagazwa? Shahidi anaeleza alichokiona Yeye na kukishuhudia, Maswali anayoulizwa nje ya yale aliyoyasema na kuyaandika hayamuhusu,Jaji anajenga msingi kwa alichokisema shahidi, Maswali ya kuwa una degree ngapi? Una wake wangapi? Unamfahamu Tundu Lisu? Uliona watu wakibeba petrol na magogo?. Haya yote inategemea kama shahidi aliyasema kama hakuyasema ni kupoteza muda kumuuliza, Maswali nje ya context ya alichokisema na kukiandika shahidi ndio vijana wanashabikia huku wakiwa na Tecno na itel za wachina wasiowataka kujenga bandari ya Bagamoyo

Hoja ya Ridhwani Kikwete kuwa naibu Waziri, Utasikia aaha yule Ridhwani hafai kabisa, Ukiuliza lini Ridhwani amewahi kuwa Waziri na akakosea hakuna Jibu lolote, Lipi baya alilofanya Ridhwani utasikia aahaa nchi sasa imerudishwa kwa wapigaji, amepiga pesa gani hakuna majibu, Kumbe wanaumia kwanini mtoto wa fulani kawa Waziri, Kwanini uumie mtoto wa Mo Dewji kuwa tajiri kama Baba yake ulitaka avae kandambili zilizoshonwa shonwa

Hoja za Spika Ndugai kujiudhuru na chama chake cha ccm, Utasikia Spika ameonewa na Rais ana nguvu zaidi. Je unafahamu taratibu za ndani za ccm kanuni na maadili ambayo chama kilimpendekeza Ndugai kuwa Spika, Utasikia sifahamu, Ndani ya ccm mtu anawajibika kwa chama chake kwanza halafu ndio anawajibika kwenye nafasi yako uliyopewa, Hata Rais Samia anawajibika kwenye chama kwanza halafu kama Rais, Chama ndio kimekupa nguvu na sio cheo, Ndugai alivunja maadili na kanuni za chama kilichompendekeza awe Spika kwa kushindwa kujizuia kutofautisha nafasi akiwa Bungeni na nje ya Bunge

Vijana ambao wanategemea akili za watu wengine wawafikirie kwa niaba yao, Hao ni vijana mfu
Mafi ya bata ......hakuna mradi wowote uliopanga au kufanyika kipindi cha muhuni mzee wa msoga uliokuwa kwa maslai ya taifa hata brt ,sgr, na miradi ya umeme yote tulikuwa tumepigwa ,yule mzee ni muhuni muhuni tu huo ndiyo ukweli ,tena mradi wa bagamoyo ni mbaya kama IPTL NA ESCOW
 
Timu wapigaji wq kujipimia umekuja kumtemtea huyo Maushungi na kundi lake kwenye upigaji!
Tunataka mikataba iwekwe wazi,tuone yaliyomo, Shwain!
WAHUNI WANAJARIBU KUWAVUTA WATZ NYUMA YAO WANADHANI WATZ NI WAPUMBAVU,
 
Kwenye bandari hapo vijana wengi wa bongo ni giza nene.
Yaan unaanza kuwalaumu vijana kabla ya kuanza kuwalaumu viongozi/wanasiasa.

Tena waliosaini ama kuiona na kuisoma hiyo mikataba.

Sasa kama Rais anakuambia ni ufisadi, Rais mwingine anakwambia sio.

Tena hakuna anayeleta ushahidi. Acha vijana wapige porojo tu kama viongozi wao.
 
Yanayoendelea kwa vijana wetu Wasomi na ambao sio Wasomi huwezi kutofautisha kitu Katika kundi hili. Hoja za matusi na kutukana ndio njia pekee ya hawa vijana, Wanaamini upande mmoja wa habari

Yawezekana ni makosa yetu wazazi kuwajaza watu ujinga na wao kuyaamini kama yalivyo bila kufikiria au kujiridhisha

Mambo yafuatayo yameonyesha aina ya watu na vijana tulionao hapa JF :

Mosi, Hoja za kuendeleza gesi na maamuzi ya kutafuta wanasheria wa nje kwa ushauri, Vijana wamejazwa upepo kuwa wao wanaweza kazi hii ya sheria za kimataifa kwa kusoma soma sheria za International law pale Udsm na Udom, Wamekaa wanakula popcorn hawaelewi kuwa serikali inalipa madeni mengi kwa kudharau sheria za kimataifa, Ushauri wa kipuuzi wa wanasheria wa ndani kuwa tunaweza serikali imeishia kulipa hasara na medeni

Pili, Hoja za Bandari ya Bagamoyo, Wengi wamejazwa upepo bandari haifai,Wachina wanatupiga. Ukiwauliza wewe unafahamu mkataba wake anajibu nilimsikia Rais na Waziri. Leo hii mtu anaweza sema tutaajiri vijana 100,000 serikalini na vijana wanapiga makofi, Ukiuliza ajira zitatoka wapi kwa pesa ipi hakuna majibu, Mtu haelewi hata maana ya kina cha bandari bali utasikia aaha kule Bagamoyo si kwa Mzee JK ndio maana wanajenga bandari, Ukimuuliza sasa ulitaka JK azaliwe Dodoma

Tatu, Hoja za Freeman Mbowe na kesi inayoendelea huko mahakamani, Utasikia Leo shahidi amegalagazwa vibaya sana, Tangu lini shahidi akagalagazwa? Shahidi anaeleza alichokiona Yeye na kukishuhudia, Maswali anayoulizwa nje ya yale aliyoyasema na kuyaandika hayamuhusu,Jaji anajenga msingi kwa alichokisema shahidi, Maswali ya kuwa una degree ngapi? Una wake wangapi? Unamfahamu Tundu Lisu? Uliona watu wakibeba petrol na magogo?. Haya yote inategemea kama shahidi aliyasema kama hakuyasema ni kupoteza muda kumuuliza, Maswali nje ya context ya alichokisema na kukiandika shahidi ndio vijana wanashabikia huku wakiwa na Tecno na itel za wachina wasiowataka kujenga bandari ya Bagamoyo

Hoja ya Ridhwani Kikwete kuwa naibu Waziri, Utasikia aaha yule Ridhwani hafai kabisa, Ukiuliza lini Ridhwani amewahi kuwa Waziri na akakosea hakuna Jibu lolote, Lipi baya alilofanya Ridhwani utasikia aahaa nchi sasa imerudishwa kwa wapigaji, amepiga pesa gani hakuna majibu, Kumbe wanaumia kwanini mtoto wa fulani kawa Waziri, Kwanini uumie mtoto wa Mo Dewji kuwa tajiri kama Baba yake ulitaka avae kandambili zilizoshonwa shonwa

Hoja za Spika Ndugai kujiudhuru na chama chake cha ccm, Utasikia Spika ameonewa na Rais ana nguvu zaidi. Je unafahamu taratibu za ndani za ccm kanuni na maadili ambayo chama kilimpendekeza Ndugai kuwa Spika, Utasikia sifahamu, Ndani ya ccm mtu anawajibika kwa chama chake kwanza halafu ndio anawajibika kwenye nafasi yako uliyopewa, Hata Rais Samia anawajibika kwenye chama kwanza halafu kama Rais, Chama ndio kimekupa nguvu na sio cheo, Ndugai alivunja maadili na kanuni za chama kilichompendekeza awe Spika kwa kushindwa kujizuia kutofautisha nafasi akiwa Bungeni na nje ya Bunge

Vijana ambao wanategemea akili za watu wengine wawafikirie kwa niaba yao, Hao ni vijana mfu
Nilikuwa nakuheshimu kumbe Una upungufu wa uzito kiasi hiki? Kumbe aliyesema acha inyeshe tuone panapovuja alikuwa sahih? Leo umeongea tumeona ulivyo empty set. Niongelee suala moja tu linaloonesha uko uchi kichwani.
Unasema unasema ushahidi unaochukuliwa na Mahakama toka Kwa Shahidi ni kile tu alichosema anakijua yeye atakachoulizwa na kujibu kwenye Cross examination hakina uzito? Hiyo digrii unayotambia kuwa nayo Kila siku na kujiita mkongwe si Bora ufungie maandazi? Hujui umuhimu wa cross examination halafu unajitia ujuaji wa kuongelea usichokiweza? Kwamba Sheria imeweka kipengele muhimu cha cross examination kama pambo? Kama ni hivyo Mahakama ingepoteza Muda wake kusikiliza maswali kinzani yanayopima usahihi na uzito wa alichoongea Shahidi Kwa Mambo isiyoyazingatia? Yaani Kwa akili yako Shahidi anaweza kusema *tarehe 4/8/2021 saa 4 asubuhi Nilikuwa Dodoma nikaitwa niende haraka niende Dar ambapo nilipanda basi la Shabiby na kufika saa 5 kamili asubuhi kuonana na bosi aliyeniita" na bado akiulizwa umbali toka Dodoma hadi Dar ni km ngapi? Wewe unaona Mahakama itazingatia ushahidi aliotoa maana mabasi ya Shabiby yanakimbia Sana?
Dumb head!
 
GUSSIE
#GUSSIE

Mleta hoja umekuja kutetea ulaji wa wajomba zako na Babu zako bila aibu.

Kama baadhi ya hao vijana wenzio wameendeleza ujinga kama ilivyo kawaida yenu.

Vema uelewe kwamba sio Watanzania wote ni wajinga kwa sasa.

Tunaona na tunaelewa kwamba nchi imerudi kwenye utawala wa mfumo (system).huyo mshika remote ndiye master mind.

Mafisadi huwa moja ya sifa yao kuu ni kukosa aibu pamoja na kuwa na ubinafsi uliopitiliza.

Wewe hakika ni uzao wa wezi na hata kama una elimu,basi umesoma kwa hela za ufisadi.
Na hakika wewe sio kundi la sisi tunaoishi huku site.(uswahilini.)

Topic yako inaonyesha ulivyojaa kiburi na dharau kwa watanzania.
Kwa sababu kule upande wa pili wa shilingi,bidhaa zote muhimu huwa zimerundikana store.

Kwa taarifa yako kuhusu kesi za mikataba,ambazo zimeliingiza taifa hasara kubwa.
Nyingi ya ambazo tulishtakiwa nazo zilitokana na utawala wa awamu ya baba yake Riziwani Kikwete.

Mfano hai ni Richmond,Dowans na Tegeta Escrowna bila kusahau UDART ya Riziwani na Lameck Kisena kwa uchache tu.

Mpaka tunavyoandika hakuna kesi iliyofunguliwa kuhusu madai au ukiukaji wa mikataba.

Ambayo inaihusu awamu ya tano nchini chini ya utawala wake wa miaka mitano ya JPM.

Ingawa yeye alitumia wanasheria wazalendo kwa kumshauri na kuivunja mikataba iliyokuwa ya kifisadi.bila kuwaomba wazungu ushauri.

Pamoja na baadhi ya makampuni hayo kuwatumia baadhi ya wanasheria nchini,mmojawapo akiwa Tundu Lissu a.k.a mzee wa MIGA.
Ili kuitisha serikali isiivunje mikataba ile ukiwemo ule wa ACACIA.

JPM alisimamia alichokiamini na tulisonga mbele kama taifa bila ushauri wa wazungu.na kampuni zao za kifedhuli.

Kuhusu Riziwani kusemwa hafai, wewe unadai hajawahi kuwa waziri hivyo wanaosema wanakosea.

Wewe labda ni mtoto wa juzi na hujui historia ya hapo nyuma kidogo....
Ila sisi tunakumbuka zile
Enzi za utawala wa baba yake yaani JK.
Riziwani alikuwa na nguvu zaidi ya waziri,aliekuwa rafiki yake au yeyote angeweza pewa uwaziri au tender yoyote na saa yoyote.

Tuna kumbukumbu ya baadhi ya malalamiko ya watumishi waliowahi kukumbana na kadhia ya mtoto wa mfalme enzi hizo.

Kuhusu kundi la wezi kurudi kwa kasi serikalini,hiyo sio siri kila mtanzania anaona na mfano mmoja wa wazi ni waziri Makamba hapo Nishati,yeye kila siku ni kupangua safu za utumishi.
Huku akizidi kuingia mikataba yenye utata isiyo na tija kwenye uzalishaji umeme nchini,tena kwa kasi ya kifisadi huku mwenye mamlaka ya uteuzi akiwa kimya.

Kuna huo mkataba wa Bagamoyo EPZ ambao pia ni matokeo ya ule utawala wa Baba Ritz,sasa ameshika remote control,ndio tunaona Chanel ya Bagamoyo ikirudi upya huku ikipigiwa upatu na walewale.

Mambo ni mengi na wananchi wana hasira,halafu wewe mpuuzi mmoja unakuja kuleta dharau humu JF.??

Wewe mleta hoja umetumwa kujaribu ku test upepo.

Ila waliokutuma walikosea mtu wa kutuma.

Wao waliamini umeelimika kumbe ni muumini na mmiliki wa vyeti usiyejitambua.

#Hatutakiwahuni
Kwa hiyo unataka Tanzania ya kuuana, kutekana, kutukanwa majukwaani na kubaguliwa kiitikadi?

Unataka Tanzania ya Rais anayejenga miundombinu mikubwa kama uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake kwa kutumia Kodi za umma wa watanzania?

Unataka Rais ambaye anaiba Tsh 2.4 Trillion na akihojiwa anamtimua CAG?

Unataka Tanzania ambayo Rais anavuruga diplomasia ya kimataifa dhidi ya majirani kisa kamchukia Rais wa nchi hiyo?

Unataka Tanzania ambayo TRA wanakusanya ushuru kwa kutumia bunduki kama wako vitani?

Hatuko tayari kurudi kwenye utawala wa kishetani wa mwaka 2015-20
 
UNGETULIA UNGEWEZA JENGA HOFU ILA UNA PAPARA SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ujaeleweka.
 
Hoja yako ina mantiki na ndio kitu kinachotufanya tuendelee kubaki nyuma siku hadi siku tuwe wasindikizaji wa wageni wanaokuja toka china kuja kuuza gypsum board gerezani na kutajirika huku sisi vijana wetu wakiishia kupiga soga vijiweni.

Moja ya kosa la kiufundi ni kumtoa mkoloni mapema ikiwemo na education system yake, thinking capacity yake, work and enterprenuer attitude. Nenda zimbabwe kuna commercial farmers wazawa wakubwa leo, ukienda SAfrica kuna mabilionea weusi sababu ya msingi wa kuishi na wakoloni na kufikiri kama wakoloni. Kenya kuna national largest brewer wa bia weusi akina Muigai baba mkwe kwa Benpol. Ile kufikiri kwa haraka, problem solving na vitu hivyo wabongo bado. Hata ukiangalia matumizi yenye tija ya mitandao utapata jibu kwenye matusi wabongo wamejaa mange kimambi app. Lakini sio African voices changemakers.
Upo sahihi kabisa, sisi tumekumbatia waarabu, wachina, wahindi na wasomali eti
 
Back
Top Bottom