Exactly, fedha chafu na Money Loundering ni Samaki na maji.Mkuu hicho unachouliza kina maana moja na money laundering?
Exactly, fedha chafu na Money Loundering ni Samaki na maji.
Kwa ufupi fedha haramu ni fedha yoyote ambayo imepatikana kwa njia zisizo halali kama vile Ujambazi, Ufisadi, Madawa ya kulevya, uhujumu uchumi, kukwepa kodi etc!
Mtu anayemiliki fedha za aina hii huwa hawezi kuanza kuzitumia moja kwa moja kwa hofu ya kustukiwa.
Atakachofanya ni kwamba atatafuta namna yoyote ya kuzi'invest katika mradi fulani iili zionekane zimejizalisha na kukuza mtaji.
Kitendo cha kujaribu kuwadanganya watu kuwa ni fedha halali zinazozalishwa kwa huo mradi ndio hUitwa KUTAKATISHA FEDHA, au MoneY Loundering!
Nadhani uko sawa!