isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
UEFA wamezitahadharisha vilabu vya ulaya vianvyojihusisha na kwenda Super Legue kwamba wanaweza kupigwa marufuku kwenye ligi zao za ndani na mashindano ya kimataifa kama wakiunda mshindani wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya.
Tamko la pamoja na uongozi wa ligi za Hispania, Uingereza na Italia, UEFA imesema itaangalia njia zozote ikiwemo mahakama na marufuku ya ligi zao katika kupinga mipango ya kuondoka kwenye michuano hiyo.
Reuters
===========
Mashindano ya ligi ya mabingwa ulaya na ligi yake ndogo ya Europa yamesitishwa kwa muda kutokana na vilabu takribani 12 kijiengua ECA - European Clubs Association ambayo inachagiza uwepo wa UEFA na Europa league.
Vilabu hivyo vilivyojiengua uanachama wake ni AC Milan, Arsenal, Atletico Madrid, Chelsea, Barcelona, Inter Milan, Juventus, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Real Madrid na Tottenham Hotspur.
Klabu ya Arsenal yathibitisha ushiriki na ushirika wake na European Super League. European Super League announced
Klabu ya FC Barcelona yathibitisha ushiriki na ushirika wake na European Super League. FC Barcelona, one of the Founding Clubs of the new Superleague
===========
Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester United na Manchester City zathibitisha kujitoa katika mashindano andaliwa ya European Super League.