UEFA yatishia kuzipiga 'ban' klabu kubwa barani ulaya kwenye michuano yote

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,889
2,000
UEFA wamezitahadharisha vilabu vya ulaya vianvyojihusisha na kwenda Super Legue kwamba wanaweza kupigwa marufuku kwenye ligi zao za ndani na mashindano ya kimataifa kama wakiunda mshindani wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya.

Tamko la pamoja na uongozi wa ligi za Hispania, Uingereza na Italia, UEFA imesema itaangalia njia zozote ikiwemo mahakama na marufuku ya ligi zao katika kupinga mipango ya kuondoka kwenye michuano hiyo.

Reuters
===========

Mashindano ya ligi ya mabingwa ulaya na ligi yake ndogo ya Europa yamesitishwa kwa muda kutokana na vilabu takribani 12 kijiengua ECA - European Clubs Association ambayo inachagiza uwepo wa UEFA na Europa league.

Vilabu hivyo vilivyojiengua uanachama wake ni AC Milan, Arsenal, Atletico Madrid, Chelsea, Barcelona, Inter Milan, Juventus, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Real Madrid na Tottenham Hotspur.

Klabu ya Arsenal yathibitisha ushiriki na ushirika wake na European Super League. European Super League announced

Klabu ya FC Barcelona yathibitisha ushiriki na ushirika wake na European Super League. FC Barcelona, one of the Founding Clubs of the new Superleague

===========

Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester United na Manchester City zathibitisha kujitoa katika mashindano andaliwa ya European Super League.
 

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,889
2,000
🚨🚨😱 BREAKING: All Champions League and Europa League games have been temporarily cancelled.

There will be an extraordinary meeting from UEFA tomorrow and PSG could be crowned UCL champions.

[via BBC Sport]

Kiongozi wa genge hili nahisi sio mwingine ni papa PEREZ nasikia barca wamebadili gia angani kama Prof. LIPUMBA....
Barça anaeleza vipi kwa sasa?
 

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,889
2,000
Ila naona FIFA, UEFA, PL na boards za leagues nyingine kama Italy na Spain wameilaani sana hii plan na wametishia bans na sanctions kibao kwa members watakaounda hii League. 😂😂😂

Hivi vilabu vimedhamiria maana taarifa yakuchukuliwa hatua ilitoka mapema huku vilabu vikithibitisha ushiriki wake baadae kabisa.

Kwa namna ilivyo ikitokea wachezaji kutokucheza timu za taifa, kombe la dunia Qatar 2022, ligi zao na endapo wakihitaji kujirudi basi wanaanzia daraja la tano!
 

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
853
1,000
Arsène Wenger in 2009:

"I think a European league will develop in 10 years. I'm not 100% sure what I'm saying but I know that some people behind the scenes are pushing for this project. The money that will be coming in from the Champions League will not be enough for some clubs.”
 

bravocharlie

JF-Expert Member
Feb 1, 2020
213
500
BREAKING: All Champions League and Europa League games have been temporarily cancelled.

There will be an extraordinary meeting from UEFA tomorrow and PSG could be crowned UCL champions.

[via BBC Sport]

Kiongozi wa genge hili nahisi sio mwingine ni papa PEREZ nasikia barca wamebadili gia angani kama Prof. LIPUMBA....
Vigezo gani vinatumika? Au ndio psg hayupo kwenye mchakato huo,
Dadeki kwaiyo kule finally watacheza Roma na Villareal
 

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
853
1,000
Fans hawawezi kugoma , hata wanaopinga wataangalia kwa ku stream , vivyo hivyo FIFA na UEFA wamekuwa majizi na wala rushwa wakubwa kuanzia kwny nani apewe World cup host nk .. Hawa wamekutana kwenye conflict of interests ,acha wanyooshane kwanza watoane damu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom