UEFA semi final & Final: Special thread

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
742
Tujadili machache kuhusu UEFA kwa hatua hiz chache zilizobaki..
Am expecting:
Semi final
RM vs Monaco
ATM vs Juventus

Final
RM vs Juventus

Victory: RM
 
Mzee Real Madrid wataweka Record ya kipekee kama utabir wako utaenda kama ulivyotabir..mimi naona kombe kutoka Inje ya Spain..nampa nafasi Juventus kuchukua kombe
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom