UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Nawaheshimu Barcelona,niliwasifu sana walipooverturn matokeo dhidi ya PSG...BUT..
Hizi mechi mbili za quaterfinal dhidi ya MUITALIANO huyu anayeitwa Juve,nawashauri Barca watulize vichwa,this is probably the toughest games walizowahi kucheza recently,na wasahau kabisa ile final waliyompiga Juve,ile ni mechi moja,hizi ni mechi mbili nyumbani na ugenini,and i know the strength of Italian mentality kwenye hizi games za mtoano,especially at this stage,na pia status ya Juve kama underdog kwenye huu mtanange.

Juve ni wabaya sana wakiwa underdogs.
Kama Juve atashinda kwa goli moja mechi ya kwanza nyumbani,au Barca akashinda kwa goal difference ya 2 goals au zaidi pale Turin,then Barca atakuwa na nafasi nzuri kusonga mbele
Kama Juve atashinda goal difference ya 2,Barca atakuwa na wakati mgumu mechi ya pili,hawa sio wafaransa,these are italians.
Kama Barca atashinda kwa goli moja au kutoka suluhu au sare pale Turin,then Barcelona,with all due respect to this great team,ajiandae kucheza gemu ngumu ya maisha pale Camp Nou,na asipoangalia safari itaishia pale pale mbele ya mashabiki wake.
So the worst case kwa Barca ni kutoka sare mechi ya kwanza,ataenda kukimbizwa sana pale Camp Nou.
Hawa viumbe waliendaga Santiago Bernabeu na kuanza kujipiga Selfie, kama mzaha vile, Madrid akaaga mashindano. Sitasahau hii mechi, nilifurahi mno.
 
hivi unajisikiaje mkuu kutabiri droo ya timu nane halafu hupatii hata moja na unaangalia mpira kila siku? ulishindwa hata kutabiri bayern na Madrid ama barca na juve? nyie ndo mnapewaga bastola mjipige risasi mnajikosa
Haaha, huo ulikuwa ni utabiri tuu,
 
Dortmund vs Monaco
45e40360d775c65ef941d833cf3a1754.jpg
 
Dortmund police reporting an explosion in Höchsten - around 6 miles (10km) away from the Westfalenstadion where Dortmund play Monaco tonight.
 
Dortmund confirm there was an explosion involving their team bus, Marc Bartra is on his way to hospital because of that explosion.
 
Norbert Dickel just made an announcement in the stadium that they wait for more information.
 
Leo ni draw ya kombe la UEFA Champions league na UEFA Europa league hatua ya robo fainali. Draw inafanyika mchana huu saa nane mchana (2:00pm)

Ratiba ya UEFA mechi zijazo ni kama ifuatavyo:

Quarter-finals: 11/12 + 18/19 April

1st leg
Tuesday (11 April)
Borrusia Dortmund - AS Monaco
Juventus FC - FC Barcelona

Wesdnesday (12 April)
Atletico de Madrid - Leicester City
FC Bayern Munchen - Real Madrid

2nd leg
Tuesday (18 April)
Leicester City - Atletico de Madrid
Real Madrid - FC Bayern Munchen

Wednesday (19 April)
AS Monaco - Borrusia Dortmund
FC Barcelona - Juventus FC

Semi-final draw: 21 April
Semi-finals: 2/3 + 9/10 May
Final: 3 June

Ratiba ya UEFA Europa league mechi zijazo ni kama ifuatavyo:

13 April: Quarter Final, 1st leg
20 April: Quarter Final, 2nd leg
21 April: Semi Final draw, Nyon
4 May: Semi Final, 1st leg
11 May: Semi Final, 2nd leg
24 May: Final

Draw ni kama ifuatavyo;

View attachment 482332

Huku dondoo zikionesha timu pendwa na UEFA au timu mlungula Real Madrid kubebwa kwa kupewa Leicester ambao ndio timu dhaifu kutokana na kufanya vibaya msimu huu.

Kuhusu Barcelona wao wanataka kupangiwa na timu mbili kati ya mahasimu zao R. Madrid au Bayern ili kulipiza kisasi kwa Arsenal ila la kusikitisha timu hizo zote hazitaki kukutana na FC Barcelona haswa R. Madrid

Na ile kauli ya Blatter kuwa kuna vimpira vyenye joto kwenye draw za UEFA naona inatimia tena

Tukitoka huko macho na masikio yote ya wapenda michezo Tanzania yapo kwa mchezaji wetu anayetuwakilisha vizuri nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
Leicester naona kama anaenda kupigwa nyingi mno
 
Back
Top Bottom