UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

PNC

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
8,106
14,352
Leo ni draw ya kombe la UEFA Champions league na UEFA Europa league hatua ya robo fainali. Draw inafanyika mchana huu saa nane mchana (2:00pm)

Ratiba ya UEFA mechi zijazo ni kama ifuatavyo:

Quarter-finals: 11/12 + 18/19 April

1st leg
Tuesday (11 April)
Borrusia Dortmund - AS Monaco
Juventus FC - FC Barcelona

Wesdnesday (12 April)
Atletico de Madrid - Leicester City
FC Bayern Munchen - Real Madrid

2nd leg
Tuesday (18 April)
Leicester City - Atletico de Madrid
Real Madrid - FC Bayern Munchen

Wednesday (19 April)
AS Monaco - Borrusia Dortmund
FC Barcelona - Juventus FC

Semi-final draw: 21 April
Semi-finals: 2/3 + 9/10 May
Final: 3 June
Screenshot_2017-03-17-14-21-19-1.png


Ratiba ya UEFA Europa league mechi zijazo ni kama ifuatavyo:

13 April: Quarter Final, 1st leg
20 April: Quarter Final, 2nd leg
21 April: Semi Final draw, Nyon
4 May: Semi Final, 1st leg
11 May: Semi Final, 2nd leg
24 May: Final

Draw ni kama ifuatavyo;

IMG_20170317_151502.jpg


Huku dondoo zikionesha timu pendwa na UEFA au timu mlungula Real Madrid kubebwa kwa kupewa Leicester ambao ndio timu dhaifu kutokana na kufanya vibaya msimu huu.

Kuhusu Barcelona wao wanataka kupangiwa na timu mbili kati ya mahasimu zao R. Madrid au Bayern ili kulipiza kisasi kwa Arsenal ila la kusikitisha timu hizo zote hazitaki kukutana na FC Barcelona haswa R. Madrid

Na ile kauli ya Blatter kuwa kuna vimpira vyenye joto kwenye draw za UEFA naona inatimia tena

Tukitoka huko macho na masikio yote ya wapenda michezo Tanzania yapo kwa mchezaji wetu anayetuwakilisha vizuri nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
 
Ipo ivi wadau kwa atua ya robo fainali sheria inasema timu mbili kutoka nchi moja lazima zikutane ivyoo
 
ukiitoa Barcelona timu itakayocheza na juve nitaishabikia juventus turin
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom