bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,357
- 9,545
Shabiki mufu wa Ac Milan, naona mmejitoa kabisa kushiriki UEFA mkuuTAARIFA MUHIMU...
Ndugu msomaji unaarifiwa kuwa itakapojiri tarehe 21/03 Ulimwengu wa Soka utakuwa kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka Ronaldo de Assis Moreirra aliezaliwa katika viunga vya Port Alegre nchini Brazil...
Taarifa hii imetolewa na kusambazwa kwenu na msemaji wa AC Milan Afrika Mashariki ambae pia ni afisa habari wa mchezaji huyo barani Afrika Gang Chomba.
MOTO:
Some thing can't stay buried...
Bashite toa vyetiiiiii