City ! City mnaleta mchezo jamani hauwezi kustuka kwa matokeo haya ya ivi karibuni bayern kapigwa 3, man u 4,toten 7 , arse 6 toka usingizini city chini ya eng pelligrin ni hatare .city walianza kwa kuchechemea ndo maana bayn wakashinda 3 lakini hakuna atakaye nyamazisha moto huu
Ningeshangaa...
Maana wewe bila kuitaja hiyo timu usingizi hupati
Sanchez - Iniesta - neymar - la pulga - .. man city Kwa heri sijui mtamkaba nani muache nani !!
Robben - ribery - mandzukic- muller - martinez - gotze - alaba- lahm- n.k .. asenane bye bye ... !
mpaka katikati ya mwezi wa kwanza atakuwa ameshapona, Ni Lionel Messi. Mbona Man City atatafuta mahali pa kutokea!!!
man city hawana uzoefu na uefa ... Hii ni purposely wanakaribishwa kwenye dunia ya soccer , tikitaka itawafunza kitu maana hata special one alivamia pale akafundishwa soccer na wale watoto akawa na misimu mibovu Madrid kisa barca.. na nakumbuka arsenal ilikuwa inaaminika Kwa kutandaza pasi EPL walipoenda uefa wakakutana na ( messi 4 wao 1 ) .. they learned smthng ! Time for man city to learn !
Bayern watatoka tu mbona mwaka jana aggregate ilikuwa 3 kwa 3 sema tu alinufaika kwa magoli ya ugenini
jamani tuacheni kujipa moyo. munich ni timu nzuri sn kwa sasa ila katika soccer chochote chaweza kutokea pia nlichoona miaka michache ilopita bingwa wa uefa huwa mara nyingi anatoka upande wa barca so km city atamtoa barca basi anaweza kufanya maajabu msimu huu bt kiukwel nadhani watu wengi wanahamu sn na hizi mechi ila binafsi naona timu zote ni nzuri na chochote chaweza kutokea
mbona washamba nyinyi? Unajua maana ya breaking news? Au mshazoea breaking news basi habari itakuwa magaidi wamelipua, ndege imeanguka, basi limepinduka, acheni ushamba
mikazó;8681796 said:Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
mashabiki wa man utd,mbna mna hasira hvyo,tatzo nini?haina shida sisi Tutakuchukua na kukupeleka milembe, mtu ni mwehu halafu unatafuta sababu ili usionekane mwehu.
Isije ikawa mwenzetu hizo nyeti zenyewe tayari hazipo!mikazó;8681796 said:Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
mikazó;8681796 said:Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
Kijana Tyta em kam zis wei tumshawishi huyu kiongozi atupiemo kapicha ili once akijakuvua msimu ujao tusimshangae,tuwe tumeshakuwa familiar na pozi lake akiwa mtupu!
Nadhani ni solution nzuri. Mpira uchezwe Ulaya, mtu avue ngua Tanzania, hata mechi moja hajawahi kwenda kuangali UK. Makubwa.haina shida sisi Tutakuchukua na kukupeleka milembe, mtu ni mwehu halafu unatafuta sababu ili usionekane mwehu.
tunamtakia safari njema..